Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

Mwezi wa tano niliumwa kiasi nilivoenda dispensary nikakutana na dactari akaniuliza uliza wee kisha akaniandikia nipime kama nna typhoid au Maralia, tena akaniuliza kama kuna kitu kingine nataka nipime nilimwambia nataka kupima H.I.V akaniangalia then akaandika kwenye daftari bila kuongea chochote, then akaniambia nenda kasubiri majibu, nilishangaa hata cancelling hakuna nikaanza kuwa na hofu, baadae majibu yalivokuwa tayari nikaitwa nikaambiwa status za magonjwa mengine nilisikiliza kwa makini lakini mawazo yangu yote hayakuwa katika magonjwa hayo.

Alipomaliza kunieleza kilichoonekana katika magonjwa hayo then akaja kwenye H.I.V, aisee jamaa nilishangaa ananiambia na hiki kipimo bila kutaja akanionyesha tu kwenye lile daftari akasenma hakina shida, akaishia hapo, then nikatoka ila nilikuwa na mawazo sana what if ningekuwa na shida afu huyu docta hata hakuandai kisaikolojia kupokea majibu.

Love is all what we need!
We ulitaka ujue una ukimwi ili iweje?
 
Back
Top Bottom