luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Mkuu ni ngumu kumsahau jpm.hakuna siku imepita sijamkumbuka hasa usiku nikilala najikuta nawaza hivi ni kweli hatunae tena?Hakuna kitu kilichonistajabisha mimi kama Mwanasayansi Magufuli kumtunainia MUNGU na kumtanguliza yeye kwenye Taifa.
Ni rahisi pekee toka Julius Nyerere aliyemtajac MUNGU sana na kum acknowledge MUNGU kwenye Urais wake.
Naamini kuna namna MUNGU anam reward kipenzi chetu JPM.
Kila binadamu ana mapungufu yake.ila naamini Mungu atamsamehe pale alipokosea kama binadamu.
Magufuli alikuwa mcha mungu hata kabla ya kuwa rais
Kwa mara ya kwanza2012 akiwa waziri nilisali st peters dar nilimuona face to face mbele ya bench tulokuwa tumekaa.
Muda wa kupeana amani ya bwana wote walokuwa karibu nae alitupa mkono.
Tulipotoka nikamuuliza mama akasema mara nyingi magufuli hakosagi kanisani.
So likizo zangu zote nikisali st peters lazima nimuone, alikuwa akipenda kukaa upande wa chini ukiingia kanisani mkono wa kulia unamuona akiwa katulia kwa unyenyekevu mkubwa.
Mkuu achana na hilo ushaona wapi rais mkiristo akishita kibaba wachangi sadaka waislamu? Ushaona utu wa namna hiyo?
Mungu nijalie moyo wa hurumahata zaidi ya jpm
Ee mungu mpumzishe huyu baba jamani.