Kwa hali ya Corona na kimbunga Jobo, nimeamini Tanzania inalindwa na Mungu

Mkuu ni ngumu kumsahau jpm.hakuna siku imepita sijamkumbuka hasa usiku nikilala najikuta nawaza hivi ni kweli hatunae tena?

Kila binadamu ana mapungufu yake.ila naamini Mungu atamsamehe pale alipokosea kama binadamu.

Magufuli alikuwa mcha mungu hata kabla ya kuwa rais
Kwa mara ya kwanza2012 akiwa waziri nilisali st peters dar nilimuona face to face mbele ya bench tulokuwa tumekaa.

Muda wa kupeana amani ya bwana wote walokuwa karibu nae alitupa mkono.

Tulipotoka nikamuuliza mama akasema mara nyingi magufuli hakosagi kanisani.

So likizo zangu zote nikisali st peters lazima nimuone, alikuwa akipenda kukaa upande wa chini ukiingia kanisani mkono wa kulia unamuona akiwa katulia kwa unyenyekevu mkubwa.

Mkuu achana na hilo ushaona wapi rais mkiristo akishita kibaba wachangi sadaka waislamu? Ushaona utu wa namna hiyo?

Mungu nijalie moyo wa hurumahata zaidi ya jpm

Ee mungu mpumzishe huyu baba jamani.
 
Nchi iliyobobea kwa matambiko na mambo ya hovyo hovyo kama ulozi, uchawi, ushirikina, ufisadi, wizi wa pesa na mali ya umma, ufiraji inalindwa na Mungu yupi? toa ufafanuzi...
Hata Yesu alipokuja duniani, hakuja kwa ajili ya wasio na dhambi bali wenye dhambi... Kataa ukubali Mungu ni mwema siku zote. Twapaswa kumshukuru kwa kila jambo na kwa jinsi tulivyo.

Hata wewe ndugu yangu unapumua hata sasa kwa sababu Mungu amependa. Hutaki kajinyonge.
 
Nasikia huko Dar leo hali ni tete, kuna mvua ya kufa mtu...
 
Ni kweli kabisa mkuu,ndo maana MUNGU alituondolea Rais wa hovyo kabisa Magufuli,kwa sababu anaipenda Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…