Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,222
- 2,912
Watakaokuwa wa kwanza kuwindwa kama digidigi ni viongozi wa madreva. Wasipopotezwa, watapigwa kesi ya ugaidi ili watulizwe nyuma ya nondo bila dhamana!Mgomo wa mabasi ya abiria na maroli umeitikisa nchi. Umewaonyesha viongozi wa serikali kwamba nchi inaweza kusimama kwa muda na mambo yasiende wanavyotaka wao. Pongezi sana kwa ujasiri huu wa madereva
Hata hivyo, pamoja na pongezi hizi bado nina mashaka sana na usalama wa madereva wote waliogoma na usalama wa kazi zao
Mashaka yangu mimi kwa hawa madereva yanasababu kuu mbili:-
1. Mabosi wao ambao ndio wamiliki wa hayo magari ni wakwepaji wakubwa wa kulipa kodi za serikali na wana michezo mingi ya hatati lakini ya faida kwao wanacheza na serikali
Swali ni dogo sana, serikali ikiwapa masharti ya kuwashughulikia madereva watapominga? Wana nguvu ya kusimama na madereva wao dhidi ya serikali?
2. Viongozi wa juu wa madereva wenyewe wakitikiswa hawatikisiki? Hakuna machawa wa serikali watakao wageuka
Wangekuwa na nidhamu barabarani yasingewakuta ya kukatwa pointUmeuliza maswali ya kijinga sana, unafikiri Yutong namba ERY ni sawa na bajaji ya milioni 11 au Boxer ya milioni 3 na nusu, kwamba mtu akigoma leo kesho unaipaki au unampa dereva yeyote tu!?,kwa taarifa yako hao madereva ni wazoefu wa muda mrefu, kuanzia experience,umakini, nidhamu barabarani n.k, huwezi kukurupuka sijui kuwafungia tu au kuwaadhibu kwa namna ya kuwakomoa, mifumo itayumba na hautaamini matokeo yake
Anko kwemaπππWangekuwa na nidhamu barabarani yasingewakuta ya kukatwa point
Traffic kujazana road hyo si kutaka kupoozwa tuAnko kwemaπππ
Barabarani ni ofisini kwa dereva,zile tabia za kijinga wanazo fanya walimu, madaktari, maaskari na idara zinginezo kwenye ofisi zao ndio hizo hizo tabia za kijinga wanazo fanya madereva barabarani. Hii tabia ya kijinga tuiite MAZOEA, ukiingia nchi ya Rwanda tu hii tabia inafutika mara moja.
Tanzania hatuna mifumo ya sheria barabarani,sioni umuhimu wa traffic officers kujazana barabarani,wangefunga mifumo na kuwe na traffic patrol basi.
Usinihukumu, umri umesha nitupa,siendeshi gari tena.
Wenye mabasi ndio wenye kuishauri na kutoa maamuzi kwenye SerikaliMgomo wa mabasi ya abiria na maroli umeitikisa nchi. Umewaonyesha viongozi wa serikali kwamba nchi inaweza kusimama kwa muda na mambo yasiende wanavyotaka wao. Pongezi sana kwa ujasiri huu wa madereva
Hata hivyo, pamoja na pongezi hizi bado nina mashaka sana na usalama wa madereva wote waliogoma na usalama wa kazi zao
Mashaka yangu mimi kwa hawa madereva yanasababu kuu mbili:-
1. Mabosi wao ambao ndio wamiliki wa hayo magari ni wakwepaji wakubwa wa kulipa kodi za serikali na wana michezo mingi ya hatati lakini ya faida kwao wanacheza na serikali
Swali ni dogo sana, serikali ikiwapa masharti ya kuwashughulikia madereva watapominga? Wana nguvu ya kusimama na madereva wao dhidi ya serikali?
2. Viongozi wa juu wa madereva wenyewe wakitikiswa hawatikisiki? Hakuna machawa wa serikali watakao wageuka
Mkuu unaongea kama mtu ambaye maisha yake ya kipato hayajatikiswa na impunity ya vyombo vya serilali.Mgomo wa mabasi ya abiria na maroli umeitikisa nchi. Umewaonyesha viongozi wa serikali kwamba nchi inaweza kusimama kwa muda na mambo yasiende wanavyotaka wao. Pongezi sana kwa ujasiri huu wa madereva
Hata hivyo, pamoja na pongezi hizi bado nina mashaka sana na usalama wa madereva wote waliogoma na usalama wa kazi zao
Mashaka yangu mimi kwa hawa madereva yanasababu kuu mbili:-
1. Mabosi wao ambao ndio wamiliki wa hayo magari ni wakwepaji wakubwa wa kulipa kodi za serikali na wana michezo mingi ya hatati lakini ya faida kwao wanacheza na serikali
Swali ni dogo sana, serikali ikiwapa masharti ya kuwashughulikia madereva watapominga? Wana nguvu ya kusimama na madereva wao dhidi ya serikali?
2. Viongozi wa juu wa madereva wenyewe wakitikiswa hawatikisiki? Hakuna machawa wa serikali watakao wageuka
πππ Sawa anko, kwa hiyo wanafanya makusudiAnko kwemaπππ
Barabarani ni ofisini kwa dereva,zile tabia za kijinga wanazo fanya walimu, madaktari, maaskari na idara zinginezo kwenye ofisi zao ndio hizo hizo tabia za kijinga wanazo fanya madereva barabarani. Hii tabia ya kijinga tuiite MAZOEA, ukiingia nchi ya Rwanda tu hii tabia inafutika mara moja.
Tanzania hatuna mifumo ya sheria barabarani,sioni umuhimu wa traffic officers kujazana barabarani,wangefunga mifumo na kuwe na traffic patrol basi.
Usinihukumu, umri umesha nitupa,siendeshi gari tena.
πππ Anko usinilishe manenoπππ Sawa anko, kwa hiyo wanafanya makusudi
πππ Maneno yako mwenyewe anko mimi nimefanya kusamaraiziπππ Anko usinilishe maneno
Jitahidi kufanya proof reading kabla ya kupost.Mkuu unaongea kama mtu ambaye maisha yake ya kipato hayajatikiswa na impunity ya vyombo vya serilali.
Huwezi achia sheria zinazompa kijana ea polisi kuvuruga kipato na msisha yako kwa vile hujampa rushea ya laki 3, ama sivyo anafungia leseni.
Madereva wana malalamiko ya kimsingi.
Kitaalamu kama umebahatika kusoma critical thinking hakuna maswali ya kijinga kwasababu kila swali linakuwa na maana yake ila kunaweza kuwa na majibu ya kijinga na mfano wa majibu hayo ni kama haya ya kwakoUmeuliza maswali ya kijinga sana, unafikiri Yutong namba ERY ni sawa na bajaji ya milioni 11 au Boxer ya milioni 3 na nusu, kwamba mtu akigoma leo kesho unaipaki au unampa dereva yeyote tu!?,kwa taarifa yako hao madereva ni wazoefu wa muda mrefu, kuanzia experience,umakini, nidhamu barabarani n.k, huwezi kukurupuka sijui kuwafungia tu au kuwaadhibu kwa namna ya kuwakomoa, mifumo itayumba na hautaamini matokeo yake
Sidhani kama kuna mahali nimesema hoja zao sio za msingi, bali najaribu kujiuliza kama wana back up ya waajiri wao ili wanapopambania hizo haki zao isiishie kwa wengine kupata madhara na hatimaye kukosa msaadaMkuu unaongea kama mtu ambaye maisha yake ya kipato hayajatikiswa na impunity ya vyombo vya serilali.
Huwezi achia sheria zinazompa kijana wa polisi kuvuruga kipato na maisha yako kwa vile hujampa rushwa ya laki 3, ama sivyo anafungia leseni.
Madereva wana malalamiko ya kimsingi.