Hivi Baada ya miaka 60 ya Uhuru unaweza mpigia makofi au kumpa pongezi kiongozi anae kuja kuzindua au kuahidi miradi ya kimaendeleo ambayo ilibidi iwe ilishafanyika miaka 40 iliyopita na viongozi waliopita kama vile mabomba na miradi ya maji mitaani , kukuahidiwa kujenga barabara kiwango cha Kokote au lawi, mashule, Mahospitali, masoko n.k
Mi nadhani Kwa rasilimali tulizo nazo tupongeze miradi na mambo ya kimaendeleo kama ujenzi wa viwanda mbali mbali, miradi ya kisasa ya uzalishaji Umeme, Miundombinu ya kisasa na nk
Haya mengine Tushukuru tu sio Kupongeza kama baba au mwanae anapompa chakula au ada mwanae .
Mfano: Nashukuru Serikali kwa kutuletea Maji, Barabara, hospitali, shule nk
Kupongeza tunazidisha Sana ni bora tuishie Kushukuru maana tumechezewa na kufelishwa