Kwa hali ya sasa ni hatari zaidi kugombana na askari kuliko mganga, Hawa watu ni ngumu sana kuwajibishwa, Asiesikia ajiandae kisaikolojia

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Navyosema kugombana ni kuingia kwenye 18 zao hata kama wewe hujafanya kosa, jiepushe na mazingira hayo

Kwa matukio yanayozidi kuendelea ambayo wengi tunayasikia imekuwa ni wazi hawa watu wana kinga kubwa sana, hata kukiwa na ushahidi uliosambaa nchi nima na watu kwa pamoja kudai haki bado ni ngumu sana kuwajibishwa.

Be very caeful guys. Muwe makini sana
 
Mkuu wewe ukiwa Fisi, busara inakutaka ukae kimya na siyo kuwataka wengine wote wawe Fisi kama wewe. Unadhani Wazee wetu wangekuwa wote mafisi kama wewe Leo uhuru wa nchi unayoishi ungetoka wapi?
 
Mbona kama ni kuhusu yule bi mkubwa wa dom? hv alichukuliwa hatua kwel?
 
Back
Top Bottom