Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Ndio namjuaMkuu, unamjua Monique Seka?
NdioUnamfahamu Fela Anikulapo Kuti?
Vyema.Ndio
Nae pia namfahamu ni mwanamama mwanamuziki mzuri ..Vyema.
Angelique Kidjo je?
Usinichomee utambi bado nayapenda maisha yangu plzUnaonekana huna majonzi wewe
Kichwa kimoja hatari sana naskia ukimwi ulimuua?Madilu.
Huyu ndo Queen of Zouk, kuna Mathey piaMkuu, unamjua Monique Seka?
Sawa sawa mkuuntawasikiliza then ntaleta mrejesho
Na king nae je?Huyu ndo Queen of Zouk, kuna Mathey pia
Oliver N'goma alikuwa mkali piaNa king nae je?
Mbillia bell nae vipi?
Dah hizo habari sijazijua ila Madilu alikuwa vizuri.Kichwa kimoja hatari sana naskia ukimwi ulimuua?
Sasa kwanini unapost wasanii wa nyimbo za furaha?Usinichomee utambi bado nayapenda maisha yangu plz
Kwa hiyo wamekataza chibonge?Sasa kwanini unapost wasanii wa nyimbo za furaha?