passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Hali ya uchumi wetu Ni nzuri na miradi ya maendeleo inaendelea kila Kona ya nchi yetu Hali Inayosaidia kutoa ajira za moja kwa moja kwa vijana na kusaidia mzunguko wa fedha mitaaniHongera Rais wetu Kwa kitufikisha uchumi wa chini
Ndugu zangu mnyonge mnyongeni lakini Haki Yake mpeni, Rais Samia Anastahili kupewa Haki yake, Haki ya kupongezwa, kuungwa Mkono, kupewa Faraja, kutiwa Moyo na kupewa ushirikiano.
Rais Samia Alipokea Nchi katika Kipindi Kigumu Sana kiuchumi, Alipokea Nchi kipindi Cha mlipuko wa ugonjwa wa CoVID 19, kipindi ambacho viwanda vingi vilikuwa vimefungwa ,vinafungwa au kupunguza wafanyakazi wake, Alipokea Nchi kipindi ambapo uchumi wa Dunia ulikuwa unatetemeka, kipindi ambacho ajira zilikuwa zinafungwa na kupungua, kipindi ambacho uzalishaji viwandani ulikuwa unapungua siku Hadi siku, kipindi ambacho wawekezaji walikuwa wanazidi kupungua kutokana na mtikisiko wa uchumi wa Dunia
Alipokea Nchi ambapo watu katika mataifa mbalimbali walikuwa wamejifungia ndani, kipindi ambacho kulikuwa na mfumuko wa Bei Duniani, Kabla haja kaa sawa Vita vya Ukrein vikaingia Kati, Hali iliyochochea uharibifu wa uchumi wa Dunia, mfumuko wa bei ukazidi kupaa zaidi ,Nishati ya mafuta ikawa haishikiki Wala kugusika, kila Kona ya Dunia ikawa Ni vilio na kelele za ugumu wa maisha na uchumi mbaya
Mama huyu na Rais huyu shupavu kabisa, Msikivu, Mzalendo, Imara, Mwenye Maono ya Mbali, Ndoto kubwa juu ya Tanzania mpya na Bora alianza kuusuka uchumi wetu uliokuwa umeharibiwa na CORONA pamoja na Vita vya Ukrein, alianza kuimarisha Diplomasia yetu ya uchumi, akafungua Ukurasa mpya wa kidiplomasia na majirani zetu, Afrika na Dunia nzima kwa ujumla.Taratibu tukaanza kuona mafuriko ya watalii na wawekezaji hasa baada ya wazo lake la kibunifu maarufu Kama royal Tour lililotangaza vivutio vyetu vya utalii na nchi yetu kwa ujumla.
Rais Samia akaimarisha secta binafsi ili iweze kukua vizuri na kutengeneza fursa za ajira kwa vijana, akazunguka huku na kule kuwashawishi wawekezaji katika secta tofauti tofauti, hatimaye wakaanza kuja nchini mwetu.
Akajitahidi kutoa ajira kwa vijana takribani elfu 42 katika secta karibia zote zikiongozwa na secta ya Elimu na Afya,
Rais Samia katikati ya mfumuko wa Bei akachukua hatua ya kukabiliana nao kwa kutoa Ruzuku katika Nishati ya mafuta pamoja na pembejeo za kilimo, Hali iliyopelekea kushuka kwa Bei sokoni na kutoa ahueni ya maisha kwa mtanzania, Hali ya kiuchumi imezidi kuwa njema na ya kuridhisha Sana, kwani Amejenga uchumi jumuishi unao mgusa kila mtanzania na kumnufaisha kila mtu kutokana na kuwekeza katika miradi inayogusa mtanzania mnyonge moja kwa moja, Hii ndio sababu ya Kuendelea kukubalika na kuungwa mkono na watanzania wote
Kila utakapokwenda unakuta Rais Samia anafanya kazi kubwa Sana, Unakuta umoja na upendo umetamalaki miongoni mwa watanzania, watanzania Wana amani kwa kuwa ameliunganisha Taifa na kuwa kitu kimoja ndio sababu hata viwanjani unaona picha zake zikitawala na kutamalaki huku watu wakishangilia kwa shangwe ,Vifijo na Nderemo
Watanzania Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa, Tuwe na Subira kwa Yale mambo yanayokuwa katika utekelezaji, tumwombee Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania, Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia kwa kipindi hiki, Nafikiri mmesikia kwingineko badala ya kujadili maendeleo wameanza kujadili habari za kuongeza miaka ya Rais kukaa muda mrefu Zaid madarakani. Watanzania tuna bahati kwa kuwa Rais wetu muda wote anajadili habari za maendeleo tu na namna ya kumkwamua kiuchumi mwananchi mnyonge
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627( Kwa maoni juu ya ujenzi wa Taifa letu
Ukifuatilia Hali ya maisha Katika nchi za ukanda huu na Afrika yote kwa ujumla utagundua kuwa Tanzania pekee ndio sehemu ambayo Rais wetu amefanya kazi kubwa ya kutunusuru wananchi wake na mfumuko wa Bei na mtikisiko wa uchumi wa Dunia,
Mimi naandika ukweli na uhalisia wa mambo, mfano kusema Rais alitoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini katika mbolea na hivyo kupelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni Ni Jambo la ukweli ambao lipo wazi hata Kama utanitukana na kuniita mlamba viatu, maana Jambo Hilo Ni la wazi na limeleta furaha na matumaini kwa wakulima wengi Sana ambao awali walikuwa wanakata Tamaa ya kulima kutokana na Bei ya mbolea kuwa juu Sana ukilinganisha na vipato vyao,lakini kwa Sasa Wana hamasa ya kulima na kumshukuru mh Rais Samia kwa uamuzi wake huo ulioamsha matumaini katika mioyo yao
DC Mtarajiwa au siyoNdugu zangu mnyonge mnyongeni lakini Haki Yake mpeni, Rais Samia Anastahili kupewa Haki yake, Haki ya kupongezwa, kuungwa Mkono, kupewa Faraja, kutiwa Moyo na kupewa ushirikiano.
Rais Samia Alipokea Nchi katika Kipindi Kigumu Sana kiuchumi, Alipokea Nchi kipindi Cha mlipuko wa ugonjwa wa CoVID 19, kipindi ambacho viwanda vingi vilikuwa vimefungwa ,vinafungwa au kupunguza wafanyakazi wake, Alipokea Nchi kipindi ambapo uchumi wa Dunia ulikuwa unatetemeka, kipindi ambacho ajira zilikuwa zinafungwa na kupungua, kipindi ambacho uzalishaji viwandani ulikuwa unapungua siku Hadi siku, kipindi ambacho wawekezaji walikuwa wanazidi kupungua kutokana na mtikisiko wa uchumi wa Dunia
Alipokea Nchi ambapo watu katika mataifa mbalimbali walikuwa wamejifungia ndani, kipindi ambacho kulikuwa na mfumuko wa Bei Duniani, Kabla haja kaa sawa Vita vya Ukrein vikaingia Kati, Hali iliyochochea uharibifu wa uchumi wa Dunia, mfumuko wa bei ukazidi kupaa zaidi ,Nishati ya mafuta ikawa haishikiki Wala kugusika, kila Kona ya Dunia ikawa Ni vilio na kelele za ugumu wa maisha na uchumi mbaya
Mama huyu na Rais huyu shupavu kabisa, Msikivu, Mzalendo, Imara, Mwenye Maono ya Mbali, Ndoto kubwa juu ya Tanzania mpya na Bora alianza kuusuka uchumi wetu uliokuwa umeharibiwa na CORONA pamoja na Vita vya Ukrein, alianza kuimarisha Diplomasia yetu ya uchumi, akafungua Ukurasa mpya wa kidiplomasia na majirani zetu, Afrika na Dunia nzima kwa ujumla.Taratibu tukaanza kuona mafuriko ya watalii na wawekezaji hasa baada ya wazo lake la kibunifu maarufu Kama royal Tour lililotangaza vivutio vyetu vya utalii na nchi yetu kwa ujumla.
Rais Samia akaimarisha secta binafsi ili iweze kukua vizuri na kutengeneza fursa za ajira kwa vijana, akazunguka huku na kule kuwashawishi wawekezaji katika secta tofauti tofauti, hatimaye wakaanza kuja nchini mwetu.
Akajitahidi kutoa ajira kwa vijana takribani elfu 42 katika secta karibia zote zikiongozwa na secta ya Elimu na Afya,
Rais Samia katikati ya mfumuko wa Bei akachukua hatua ya kukabiliana nao kwa kutoa Ruzuku katika Nishati ya mafuta pamoja na pembejeo za kilimo, Hali iliyopelekea kushuka kwa Bei sokoni na kutoa ahueni ya maisha kwa mtanzania, Hali ya kiuchumi imezidi kuwa njema na ya kuridhisha Sana, kwani Amejenga uchumi jumuishi unao mgusa kila mtanzania na kumnufaisha kila mtu kutokana na kuwekeza katika miradi inayogusa mtanzania mnyonge moja kwa moja, Hii ndio sababu ya Kuendelea kukubalika na kuungwa mkono na watanzania wote
Kila utakapokwenda unakuta Rais Samia anafanya kazi kubwa Sana, Unakuta umoja na upendo umetamalaki miongoni mwa watanzania, watanzania Wana amani kwa kuwa ameliunganisha Taifa na kuwa kitu kimoja ndio sababu hata viwanjani unaona picha zake zikitawala na kutamalaki huku watu wakishangilia kwa shangwe ,Vifijo na Nderemo
Watanzania Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa, Tuwe na Subira kwa Yale mambo yanayokuwa katika utekelezaji, tumwombee Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania, Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia kwa kipindi hiki, Nafikiri mmesikia kwingineko badala ya kujadili maendeleo wameanza kujadili habari za kuongeza miaka ya Rais kukaa muda mrefu Zaid madarakani. Watanzania tuna bahati kwa kuwa Rais wetu muda wote anajadili habari za maendeleo tu na namna ya kumkwamua kiuchumi mwananchi mnyonge
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627( Kwa maoni juu ya ujenzi wa Taifa letu
Nakuunga mkono mkuu ,Mh Rais Anastahili kupewa nafasi ya Kuendelea kututumikia watanzania maana ndani ya muda mfupi Tumeona juhudi zake katika ujenzi wa Taifa letu, hakika kaiheshimisha TanzaniaNakubaliana na wewe, ameliponya Taifa na tunasonga mbele. Aongezwe mitano
Hali ya uchumi wetu Ni nzuri na miradi ya maendeleo inaendelea kila Kona ya nchi yetu Hali Inayosaidia kutoa ajira za moja kwa moja kwa vijana na kusaidia mzunguko wa fedha mitaani
Kiitikio kisicho na verseNakuunga mkono mkuu ,Mh Rais Anastahili kupewa nafasi ya Kuendelea kututumikia watanzania maana ndani ya muda mfupi Tumeona juhudi zake katika ujenzi wa Taifa letu, hakika kaiheshimisha Tanzania
Mh Rais wetu mpendwa mama Samia kajitahidi Sana kuijenga uchumi wa nchi yetu hasa kwa kuzingatia aina ya mazingira aliyoyakuta kiuchumi ambayo yalikuwa yamechangiwa na ugonjwa wa CORONA uliokuwa umeikumba ulimwengu na kutikisa uchumi wa kila Taifa, Juhudi za mh Rais kututoa katika mdororo huo wa uchumi umekuwa Ni mkubwa Sana na bado kazi hiyo anaendelea nayo kwa Kasi ya kuridhisha na kutia moyo na matumainiDC Mtarajiwa au siyo
Ni ajqbu kwamba ukweli ukielezwa mnaingia mitini.
Samia anatoka chama gani kwanza tujue au ni mgombea binafsi? So long as ni chama ambacho ndo jinamizi la nchi yetu anastahili kukaa pembeni na chama chake ili nchi ipate maendeleo.
Ulichoandika hapo ni ufundi wenye uongp mwingi. Kama mlivyo mafundi wa kufisadi pesa za umma
Mfumuko wa Bei amekuwa akikabiliana nao vizuri,wewe Ni shahidi uliona namna serikali ya Rais Samia ikitoa Ruzuku ya billion Mia moja kila mwezi katika mafuta na billion Mia moja hamsini katika mbolea Hali iliyosaidia kushuka kwa Bei ya mafuta pamoja na mbolea na kuongeza Kasi ya uzalishaji katika secta ya kilimoMfumuko wa Bei unapokuwa mkubwa, thamani ya pesa hushuka.
Jadili hoja mkuu, Tanzania yetu itajengwa nasisi wenyewe watanzania, Tumuunge mkono Rais wetu maana ameonyesha dhamira ya dhati na uchungu na Taifa hili,ameonyesha kutujali watanzania na kuwa na kiu ya kuona tukisonga mbele kimaendeleoWewe wakuangalie kwa jicho la huruma hata wakupe utendaji wa Kijiji.
Ni kweli ndo maana mfumuko wa bei upo juu Kwa Sababu watanzania wanahela Kwa mfano bando bei juu, vyakula bei juu Kwa sababu Watanzania wanahela pia umeme wa mashakamashaka kwanini umeme uwepo wa uhakika serikali imeona uchumi wetu ni mzuri Kwa hiyo wameona umeme wa uhakika ni wanini.Miradi mikubwa Mingi anaendeleza Tu lakini wanatumia kwenye upigaji wa hela kama ile 1.5 T ya umeme.Alafu pia uchumi wetu upo juu mpaka mshahara umeongezeka Kwa asilimia 2.3.hongereni.Hali ya uchumi wetu Ni nzuri na miradi ya maendeleo inaendelea kila Kona ya nchi yetu Hali Inayosaidia kutoa ajira za moja kwa moja kwa vijana na kusaidia mzunguko wa fedha mitaani
Karibu kwa mawazo yako yenye lengo la Kuendelea kumpa faraja na kumtia moyo mh Rais wetumhh sasa ulichobakiza ni kuweka location yako
Umerogwa weweNdugu zangu mnyonge mnyongeni lakini Haki Yake mpeni, Rais Samia Anastahili kupewa Haki yake, Haki ya kupongezwa, kuungwa Mkono, kupewa Faraja, kutiwa Moyo na kupewa ushirikiano.
Rais Samia Alipokea Nchi katika Kipindi Kigumu Sana kiuchumi, Alipokea Nchi kipindi Cha mlipuko wa ugonjwa wa CoVID 19, kipindi ambacho viwanda vingi vilikuwa vimefungwa ,vinafungwa au kupunguza wafanyakazi wake, Alipokea Nchi kipindi ambapo uchumi wa Dunia ulikuwa unatetemeka, kipindi ambacho ajira zilikuwa zinafungwa na kupungua, kipindi ambacho uzalishaji viwandani ulikuwa unapungua siku Hadi siku, kipindi ambacho wawekezaji walikuwa wanazidi kupungua kutokana na mtikisiko wa uchumi wa Dunia
Alipokea Nchi ambapo watu katika mataifa mbalimbali walikuwa wamejifungia ndani, kipindi ambacho kulikuwa na mfumuko wa Bei Duniani, Kabla haja kaa sawa Vita vya Ukrein vikaingia Kati, Hali iliyochochea uharibifu wa uchumi wa Dunia, mfumuko wa bei ukazidi kupaa zaidi ,Nishati ya mafuta ikawa haishikiki Wala kugusika, kila Kona ya Dunia ikawa Ni vilio na kelele za ugumu wa maisha na uchumi mbaya
Mama huyu na Rais huyu shupavu kabisa, Msikivu, Mzalendo, Imara, Mwenye Maono ya Mbali, Ndoto kubwa juu ya Tanzania mpya na Bora alianza kuusuka uchumi wetu uliokuwa umeharibiwa na CORONA pamoja na Vita vya Ukrein, alianza kuimarisha Diplomasia yetu ya uchumi, akafungua Ukurasa mpya wa kidiplomasia na majirani zetu, Afrika na Dunia nzima kwa ujumla.Taratibu tukaanza kuona mafuriko ya watalii na wawekezaji hasa baada ya wazo lake la kibunifu maarufu Kama royal Tour lililotangaza vivutio vyetu vya utalii na nchi yetu kwa ujumla.
Rais Samia akaimarisha secta binafsi ili iweze kukua vizuri na kutengeneza fursa za ajira kwa vijana, akazunguka huku na kule kuwashawishi wawekezaji katika secta tofauti tofauti, hatimaye wakaanza kuja nchini mwetu.
Akajitahidi kutoa ajira kwa vijana takribani elfu 42 katika secta karibia zote zikiongozwa na secta ya Elimu na Afya,
Rais Samia katikati ya mfumuko wa Bei akachukua hatua ya kukabiliana nao kwa kutoa Ruzuku katika Nishati ya mafuta pamoja na pembejeo za kilimo, Hali iliyopelekea kushuka kwa Bei sokoni na kutoa ahueni ya maisha kwa mtanzania, Hali ya kiuchumi imezidi kuwa njema na ya kuridhisha Sana, kwani Amejenga uchumi jumuishi unao mgusa kila mtanzania na kumnufaisha kila mtu kutokana na kuwekeza katika miradi inayogusa mtanzania mnyonge moja kwa moja, Hii ndio sababu ya Kuendelea kukubalika na kuungwa mkono na watanzania wote
Kila utakapokwenda unakuta Rais Samia anafanya kazi kubwa Sana, Unakuta umoja na upendo umetamalaki miongoni mwa watanzania, watanzania Wana amani kwa kuwa ameliunganisha Taifa na kuwa kitu kimoja ndio sababu hata viwanjani unaona picha zake zikitawala na kutamalaki huku watu wakishangilia kwa shangwe ,Vifijo na Nderemo
Watanzania Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa, Tuwe na Subira kwa Yale mambo yanayokuwa katika utekelezaji, tumwombee Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania, Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia kwa kipindi hiki, Nafikiri mmesikia kwingineko badala ya kujadili maendeleo wameanza kujadili habari za kuongeza miaka ya Rais kukaa muda mrefu Zaid madarakani. Watanzania tuna bahati kwa kuwa Rais wetu muda wote anajadili habari za maendeleo tu na namna ya kumkwamua kiuchumi mwananchi mnyonge
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627( Kwa maoni juu ya ujenzi wa Taifa letu
Hata mm huku Kaskazini nilikuwa nimelala sina kazi maana dah[emoji848] Sasa kama leo sijaingiza hata mia sjui huo mzunguko wa hela uko wapi[emoji2955][emoji2955][emoji2955] Au mim sipo Tanzania maana wenzangu wanaisifia[emoji58][emoji58][emoji58]Leo tumeshinda siku nzima bila umeme ndio umerudi nusu saa iliyopita. Kwa kweli hata leo aondoke.
Hali ya umeme itarejea katika hali yake, matatizo ya umeme kwa kiasi kikubwa yamechangiwa na ukame mkubwa ambao ulipelekea kina Cha maji kushuka na kupungua katika mabwawa yetu ya kuzalisha umeme, hata hivyo mvua muda siyo mrefu zinakwenda kuanza kunyesha maeneo mbalimbali nchini mwetu Hali itakayosaidia upatikanaji wa umeme wa uhakika na wa muda wote,,huku serikali ya mama yetu mama Samia ikiendelea kutengeneza vyanzo vingine vya Nishati Kama vile gasi,upepo,jua n.k ili hata ukame ukitokea Basi tusipate athari ya kukatika katika kwa umeme na kukwamisha shughuli za uzalishaji ambazo nyingi zinategemea umemeNi kweli ndo maana mfumuko wa bei upo juu Kwa Sababu watanzania wanahela Kwa mfano bando bei juu, vyakula bei juu Kwa sababu Watanzania wanahela pia umeme wa mashakamashaka kwanini umeme uwepo wa uhakika serikali imeona uchumi wetu ni mzuri Kwa hiyo wameona umeme wa uhakika ni wanini.Miradi mikubwa Mingi anaendeleza Tu lakini wanatumia kwenye upigaji wa hela kama ile 1.5 T ya umeme.Alafu pia uchumi wetu upo juu mpaka mshahara umeongezeka Kwa asilimia 2.3.hongereni.
Hapana sijarogwa maana kuongea ukweli siyo kurogwa Bali Ni uungwana wa kuonyesha uhalisiaUmerogwa wewe
Hali y umeme inakwenda kutengemaa muda siyo mrefu na kuanza kupatikana muda wote maana mvua zinakwenda kuanza kunyesha maeneo yote nchini hivyo kujaza mabwawa yetu ya kuzalisha umeme yaliyo athiriwa na ukame, lakini pia tumesikia mikakati ya serikali yetu kubuni vyanzo vingine vya umeme ili hata ukame ukitokea Basi tusiweze kuathirika na kupata umeme wa mgaoHata mm huku Kaskazini nilikuwa nimelala sina kazi maana dah[emoji848] Sasa kama leo sijaingiza hata mia sjui huo mzunguko wa hela uko wapi[emoji2955][emoji2955][emoji2955] Au mim sipo Tanzania maana wenzangu wanaisifia[emoji58][emoji58][emoji58]
Ila mama anaupiga mwingi[emoji16][emoji16][emoji16] ndiyo maana tushazoea umeme ni wa mgao siku zote