Eti eeehTate mkuu Hiyo Ni kwa maoni ya kujenga Taifa letu
Mbn kipindi cha miaka sita nyuma Watanzania wengi walisahau hii haliHali y umeme inakwenda kutengemaa muda siyo mrefu na kuanza kupatikana muda wote maana mvua zinakwenda kuanza kunyesha maeneo yote nchini hivyo kujaza mabwawa yetu ya kuzalisha umeme yaliyo athiriwa na ukame, lakini pia tumesikia mikakati ya serikali yetu kubuni vyanzo vingine vya umeme ili hata ukame ukitokea Basi tusiweze kuathirika na kupata umeme wa mgao
Inamaana nchi hii inayosemekana kuwa ina Mito na maziwa mengi tunakosa maji za kuzalisha umeme?alafu Nani amewaambia umeme unazalishwa na maji Tu hapa duniani?hamuoni aibu mwaka wa 60 huu wa Uhuru bado tunaongelea uhaba wa umeme na maji kwenye nchi iliyojaliwa maziwa na MiTo Mingi?Hali ya umeme itarejea katika hali yake, matatizo ya umeme kwa kiasi kikubwa yamechangiwa na ukame mkubwa ambao ulipelekea kina Cha maji kushuka na kupungua katika mabwawa yetu ya kuzalisha umeme, hata hivyo mvua muda siyo mrefu zinakwenda kuanza kunyesha maeneo mbalimbali nchini mwetu Hali itakayosaidia upatikanaji wa umeme wa uhakika na wa muda wote,,huku serikali ya mama yetu mama Samia ikiendelea kutengeneza vyanzo vingine vya Nishati Kama vile gasi,upepo,jua n.k ili hata ukame ukitokea Basi tusipate athari ya kukatika katika kwa umeme na kukwamisha shughuli za uzalishaji ambazo nyingi zinategemea umeme
Lakini pia Tuendelee kupeana Elimu juu ya utunzaji wa mazingira, tusikate Miti hovyo hasa katika vyanzo vya maji , tusichome misitu hovyo , tupande Miti kwa kadri ya uwezo wetu ili kurudisha ukijani wa nchi yetu na kutunza mazingira yetu ili yatutunze na kutusaidia
Umeme wa maji Ni nafuu Sana kuliko vyanzo vingine ndio maana unaona nchi nyingi huwa zinajenga mabwawa makubwa ya maji kwa ajili ya kuzalisha umemeInamaana nchi hii inayosemekana kuwa ina Mito na maziwa mengi tunakosa maji za kuzalisha umeme?alafu Nani amewaambia umeme unazalishwa na maji Tu hapa duniani?hamuoni aibu mwaka wa 60 huu wa Uhuru bado tunaongelea uhaba wa umeme na maji kwenye nchi iliyojaliwa maziwa na MiTo Mingi?
Hakukuwa na Hali ya ukame Kama Iliyotokea kipindi hiki,hata hivyo tunaendelea kuziona juhudi za serikali yetu Katika kukabiliana na suala hili ili umeme uweze kupatikana vizuri,tunaona serikali Inatumia Hadi gas kuzalisha umeme, hata hivyo mvua muda siyo mrefu zinakwenda kuanza kunyesha na kumaliza tatizo hiliMbn kipindi cha miaka sita nyuma Watanzania wengi walisahau hii hali
Ndio mkuu na karibu kwa mawazo yako ya kujenga Taifa letu pendwaEti eeeh
wewe ni mjinga.Ndugu zangu mnyonge mnyongeni lakini Haki Yake mpeni, Rais Samia Anastahili kupewa Haki yake, Haki ya kupongezwa, kuungwa Mkono, kupewa Faraja, kutiwa Moyo na kupewa ushirikiano.
Rais Samia Alipokea Nchi katika Kipindi Kigumu Sana kiuchumi, Alipokea Nchi kipindi Cha mlipuko wa ugonjwa wa CoVID 19, kipindi ambacho viwanda vingi vilikuwa vimefungwa ,vinafungwa au kupunguza wafanyakazi wake, Alipokea Nchi kipindi ambapo uchumi wa Dunia ulikuwa unatetemeka, kipindi ambacho ajira zilikuwa zinafungwa na kupungua, kipindi ambacho uzalishaji viwandani ulikuwa unapungua siku Hadi siku, kipindi ambacho wawekezaji walikuwa wanazidi kupungua kutokana na mtikisiko wa uchumi wa Dunia
Alipokea Nchi ambapo watu katika mataifa mbalimbali walikuwa wamejifungia ndani, kipindi ambacho kulikuwa na mfumuko wa Bei Duniani, Kabla haja kaa sawa Vita vya Ukrein vikaingia Kati, Hali iliyochochea uharibifu wa uchumi wa Dunia, mfumuko wa bei ukazidi kupaa zaidi ,Nishati ya mafuta ikawa haishikiki Wala kugusika, kila Kona ya Dunia ikawa Ni vilio na kelele za ugumu wa maisha na uchumi mbaya
Mama huyu na Rais huyu shupavu kabisa, Msikivu, Mzalendo, Imara, Mwenye Maono ya Mbali, Ndoto kubwa juu ya Tanzania mpya na Bora alianza kuusuka uchumi wetu uliokuwa umeharibiwa na CORONA pamoja na Vita vya Ukrein, alianza kuimarisha Diplomasia yetu ya uchumi, akafungua Ukurasa mpya wa kidiplomasia na majirani zetu, Afrika na Dunia nzima kwa ujumla.Taratibu tukaanza kuona mafuriko ya watalii na wawekezaji hasa baada ya wazo lake la kibunifu maarufu Kama royal Tour lililotangaza vivutio vyetu vya utalii na nchi yetu kwa ujumla.
Rais Samia akaimarisha secta binafsi ili iweze kukua vizuri na kutengeneza fursa za ajira kwa vijana, akazunguka huku na kule kuwashawishi wawekezaji katika secta tofauti tofauti, hatimaye wakaanza kuja nchini mwetu.
Akajitahidi kutoa ajira kwa vijana takribani elfu 42 katika secta karibia zote zikiongozwa na secta ya Elimu na Afya,
Rais Samia katikati ya mfumuko wa Bei akachukua hatua ya kukabiliana nao kwa kutoa Ruzuku katika Nishati ya mafuta pamoja na pembejeo za kilimo, Hali iliyopelekea kushuka kwa Bei sokoni na kutoa ahueni ya maisha kwa mtanzania, Hali ya kiuchumi imezidi kuwa njema na ya kuridhisha Sana, kwani Amejenga uchumi jumuishi unao mgusa kila mtanzania na kumnufaisha kila mtu kutokana na kuwekeza katika miradi inayogusa mtanzania mnyonge moja kwa moja, Hii ndio sababu ya Kuendelea kukubalika na kuungwa mkono na watanzania wote
Kila utakapokwenda unakuta Rais Samia anafanya kazi kubwa Sana, Unakuta umoja na upendo umetamalaki miongoni mwa watanzania, watanzania Wana amani kwa kuwa ameliunganisha Taifa na kuwa kitu kimoja ndio sababu hata viwanjani unaona picha zake zikitawala na kutamalaki huku watu wakishangilia kwa shangwe ,Vifijo na Nderemo
Watanzania Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa, Tuwe na Subira kwa Yale mambo yanayokuwa katika utekelezaji, tumwombee Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania, Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia kwa kipindi hiki, Nafikiri mmesikia kwingineko badala ya kujadili maendeleo wameanza kujadili habari za kuongeza miaka ya Rais kukaa muda mrefu Zaid madarakani. Watanzania tuna bahati kwa kuwa Rais wetu muda wote anajadili habari za maendeleo tu na namna ya kumkwamua kiuchumi mwananchi mnyonge
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627( Kwa maoni juu ya ujenzi wa Taifa letu
Kipindi kigumu Ni kile kipindi kilichoshuhudiwa mdololo wa uchumi Duniani kwote uliosababishwa na ugonjwa wa CORONA pamoja na Vita vya ukrein,Hiko kipindi kigumu alichotutoa ni kipi na sasa hiko kipindi kizuri ni kipi hicho?
Upo huru ikiwa utayaweka wazi kwa mchanganuo wa wazi Yale unayoona siyo ya kweli kutoka katika maandishi yangu,pia nashukuru na kukushukuru kwa mchango wako wa kukubali kuwa mh Rais amefanya vizuriAna mazuri yake ila umempamba sana hadi imekua uongo
Wewe Ni New member halafu umefika na kuanza matusi, jifunze kuvumilia mawazo ya wengine na kosoa kwa heshima na staha, matusi siyo ushujaawewe ni mjinga.
Wewe najua ni mjinga tu,hivi huoni ugumu wa maisha na hii mikopo ya huyu mama ako?Wewe Ni New member halafu umefika na kuanza matusi, jifunze kuvumilia mawazo ya wengine na kosoa kwa heshima na staha, matusi siyo ushujaa
Kwahiyo huko kujipendekeza ndio ushujaa sio?Wewe Ni New member halafu umefika na kuanza matusi, jifunze kuvumilia mawazo ya wengine na kosoa kwa heshima na staha, matusi siyo ushujaa
Embu fanya tathimini, Covid 19 ilianza 2019, Samia ameshika kiti cha Urais 2021 March! Ni kipindi gani kilikuwa na unafuu wa Maisha kwa wananchi kati 2019- march 2021 kipindi Samia hayupo na April 2021- 2022 Kipindi Samia yupo!Kipindi kigumu Ni kile kipindi kilichoshuhudiwa mdololo wa uchumi Duniani kwote uliosababishwa na ugonjwa wa CORONA pamoja na Vita vya ukrein,
Nani kakuambia ebu Fanya utafiti hela inayotumiwa kujenga bwawa isingeweza kupelekwa kwenye gesi au hata kujenga kinu cha nuclear.Umeme wa maji Ni nafuu Sana kuliko vyanzo vingine ndio maana unaona nchi nyingi huwa zinajenga mabwawa makubwa ya maji kwa ajili ya kuzalisha umeme
Mpe hongera mama Kwa kuturudisha uchumi wa chini Kwa kushindwa kudhibiti mfumuko wa bei vitu vinapanda bei ovyo,uzalishaji bidhaa umekuwa wa mashaka kisa kutokuwa na umeme wa uhakika.Ndugu zangu mnyonge mnyongeni lakini Haki Yake mpeni, Rais Samia Anastahili kupewa Haki yake, Haki ya kupongezwa, kuungwa Mkono, kupewa Faraja, kutiwa Moyo na kupewa ushirikiano.
Rais Samia Alipokea Nchi katika Kipindi Kigumu Sana kiuchumi, Alipokea Nchi kipindi Cha mlipuko wa ugonjwa wa CoVID 19, kipindi ambacho viwanda vingi vilikuwa vimefungwa ,vinafungwa au kupunguza wafanyakazi wake, Alipokea Nchi kipindi ambapo uchumi wa Dunia ulikuwa unatetemeka, kipindi ambacho ajira zilikuwa zinafungwa na kupungua, kipindi ambacho uzalishaji viwandani ulikuwa unapungua siku Hadi siku, kipindi ambacho wawekezaji walikuwa wanazidi kupungua kutokana na mtikisiko wa uchumi wa Dunia
Alipokea Nchi ambapo watu katika mataifa mbalimbali walikuwa wamejifungia ndani, kipindi ambacho kulikuwa na mfumuko wa Bei Duniani, Kabla haja kaa sawa Vita vya Ukrein vikaingia Kati, Hali iliyochochea uharibifu wa uchumi wa Dunia, mfumuko wa bei ukazidi kupaa zaidi ,Nishati ya mafuta ikawa haishikiki Wala kugusika, kila Kona ya Dunia ikawa Ni vilio na kelele za ugumu wa maisha na uchumi mbaya
Mama huyu na Rais huyu shupavu kabisa, Msikivu, Mzalendo, Imara, Mwenye Maono ya Mbali, Ndoto kubwa juu ya Tanzania mpya na Bora alianza kuusuka uchumi wetu uliokuwa umeharibiwa na CORONA pamoja na Vita vya Ukrein, alianza kuimarisha Diplomasia yetu ya uchumi, akafungua Ukurasa mpya wa kidiplomasia na majirani zetu, Afrika na Dunia nzima kwa ujumla.Taratibu tukaanza kuona mafuriko ya watalii na wawekezaji hasa baada ya wazo lake la kibunifu maarufu Kama royal Tour lililotangaza vivutio vyetu vya utalii na nchi yetu kwa ujumla.
Rais Samia akaimarisha secta binafsi ili iweze kukua vizuri na kutengeneza fursa za ajira kwa vijana, akazunguka huku na kule kuwashawishi wawekezaji katika secta tofauti tofauti, hatimaye wakaanza kuja nchini mwetu.
Akajitahidi kutoa ajira kwa vijana takribani elfu 42 katika secta karibia zote zikiongozwa na secta ya Elimu na Afya,
Rais Samia katikati ya mfumuko wa Bei akachukua hatua ya kukabiliana nao kwa kutoa Ruzuku katika Nishati ya mafuta pamoja na pembejeo za kilimo, Hali iliyopelekea kushuka kwa Bei sokoni na kutoa ahueni ya maisha kwa mtanzania, Hali ya kiuchumi imezidi kuwa njema na ya kuridhisha Sana, kwani Amejenga uchumi jumuishi unao mgusa kila mtanzania na kumnufaisha kila mtu kutokana na kuwekeza katika miradi inayogusa mtanzania mnyonge moja kwa moja, Hii ndio sababu ya Kuendelea kukubalika na kuungwa mkono na watanzania wote
Kila utakapokwenda unakuta Rais Samia anafanya kazi kubwa Sana, Unakuta umoja na upendo umetamalaki miongoni mwa watanzania, watanzania Wana amani kwa kuwa ameliunganisha Taifa na kuwa kitu kimoja ndio sababu hata viwanjani unaona picha zake zikitawala na kutamalaki huku watu wakishangilia kwa shangwe ,Vifijo na Nderemo
Watanzania Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa, Tuwe na Subira kwa Yale mambo yanayokuwa katika utekelezaji, tumwombee Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania, Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia kwa kipindi hiki, Nafikiri mmesikia kwingineko badala ya kujadili maendeleo wameanza kujadili habari za kuongeza miaka ya Rais kukaa muda mrefu Zaid madarakani. Watanzania tuna bahati kwa kuwa Rais wetu muda wote anajadili habari za maendeleo tu na namna ya kumkwamua kiuchumi mwananchi mnyonge
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627( Kwa maoni juu ya ujenzi wa Taifa letu
Leta ushahidi wako hapa wa kiuchumi,Mpe hongera mama Kwa kuturudisha uchumi wa chini Kwa kushindwa kudhibiti mfumuko wa bei vitu vinapanda bei ovyo,uzalishaji bidhaa umekuwa wa mashaka kisa kutokuwa na umeme wa uhakika.
hilo nae unataka ushahidi?Leta ushahidi wako hapa wa kiuchumi,