Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #61
Mara hii umesahau namna ambavyo viwanda vilikuwa vinafungwa hapa nchini? Umesahau namna wafanyakazi walivyokuwa wanapunguzwa katika makampuni mbalimbali ya utalii? Umesahau namna wafanyabiashara walivyokuwa wanafunga biashara zao? Rais Mama Samia alipoingia amakut la Hali haijatengemaa na alianza upya kufanya kazi ya kufufua kila eneo lililokuwa limetetelekaEmbu fanya tathimini, Covid 19 ilianza 2019, Samia ameshika kiti cha Urais 2021 March! Ni kipindi gani kilikuwa na unafuu wa Maisha kwa wananchi kati 2019- march 2021 kipindi Samia hayupo na April 2021- 2022 Kipindi Samia yupo!
Ndio Leta ushahidi unaonyesha tumeshushwa,siyo kuongea kwa maneno yasiyo na ushahidihilo nae unataka ushahidi?
wewe jamaa mbona ni mnafiki kiasi hiki[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
nitolee upumbavu wako. huyo unaesema tumtie moyo yeye mbona hatutii moyo anaeka wajinga wajinga ndo wamzunguke hana lolote analofanya na ww unakaza fuvu kumsifia kila siku.Karibu kwa mawazo yako yenye lengo la Kuendelea kumpa faraja na kumtia moyo mh Rais wetu
Naamini wewe ni mjinga,mnafiki na mpumbavu.Ndio Leta ushahidi unaonyesha tumeshushwa,siyo kuongea kwa maneno yasiyo na ushahidi
Naona huu ndio Uhuru mnaoutaka kwa ajili ya kutukana watu, hata hivyo Mimi Nakusamehe tu maana hizo Ni dalili za kuishiwa hoja ndio maana unaanza kutukana matusi, Mwenyezi Mungu Akusamehe na kukupa moyo wa hekima busara upendo uvumilivu Subira na unyenyekevuKmalammmko
Kutukana Ni ishara ya kushindwa hoja ,Mimi sikutukani Ila nitaendelea kukuelimisha kwa busara na hekima mpaka urudi katika utanzania wetu wa kuheshimiana na kuvumilianaNaamini wewe ni mjinga,mnafiki na mpumbavu.
Hekima yako ni kusema uongo?,hivi wewe mtu mbona mnafiki hivi?.Kutukana Ni ishara ya kushindwa hoja ,Mimi sikutukani Ila nitaendelea kukuelimisha kwa busara na hekima mpaka urudi katika utanzania wetu wa kuheshimiana na kuvumiliana
Nakushukuru kwa kukubali kuwa mh Rais wetu mpendwa mama Samia amefanya kazi kubwa na ya kutukuka, mama Samia anatutia moyo na kutufariji muda wote, Ni mtumishi wetu mchapakazi na mwaminifu Sana kwa kazi tuliyomkabidhi ya kututumikia watanzanianitolee upumbavu wako. huyo unaesema tumtie moyo yeye mbona hatutii moyo anaeka wajinga wajinga ndo wamzunguke hana lolote analofanya na ww unakaza fuvu kumsifia kila siku.
sikatai ssh ana mazuri mengi tu anafanya na ninayatambua ila bado hajafika level za kusifiwa kiufupi hakuna raisi yoyote aliepita anafaa kusifiwa kwakua tulikotoka na tuendako ni hatua tano nyuma mbili mbele
Karibu kwa mawazo yako mbadala ya kukosoa hoja zangu Ili nione Ni wapi tunatofautiana na Ni wapi sipo sahihiHekima yako ni kusema uongo?,hivi wewe mtu mbona mnafiki hivi?.
Sijakutukana,ila najua wewe ni mnafiki.
Hivi wale walifunga biashara zao hapa majuzi ni wakinani? Wenye viwanda kipindi hicho walikuwa na fursa maana aliyekuwa madarakan ukitaka kumfurahisha fungua kiwanda atakupa tano japo msiwe mjanja mjanja!Mara hii umesahau namna ambavyo viwanda vilikuwa vinafungwa hapa nchini? Umesahau namna wafanyakazi walivyokuwa wanapunguzwa katika makampuni mbalimbali ya utalii? Umesahau namna wafanyabiashara walivyokuwa wanafunga biashara zao? Rais Mama Samia alipoingia amakut la Hali haijatengemaa na alianza upya kufanya kazi ya kufufua kila eneo lililokuwa limeteteleka
[emoji35]Nakushukuru kwa kukubali kuwa mh Rais wetu mpendwa mama Samia amefanya kazi kubwa na ya kutukuka, mama Samia anatutia moyo na kutufariji muda wote, Ni mtumishi wetu mchapakazi na mwaminifu Sana kwa kazi tuliyomkabidhi ya kututumikia watanzania
Kwa Sasa Biashara zinafunguliwa kila Kona na kila sehemu ya nchi hii, kila Siku zinaongezeka biashara badala ya kufungwa,Hivi wale walifunga biashara zao hapa majuzi ni wakinani? Wenye viwanda kipindi hicho walikuwa na fursa maana aliyekuwa madarakan ukitaka kumfurahisha fungua kiwanda atakupa tano japo msiwe mjanja mjanja!
Biashara zinazofunguliwa kila kona ni vituo vya mafuta!Kwa Sasa Biashara zinafunguliwa kila Kona na kila sehemu ya nchi hii, kila Siku zinaongezeka biashara badala ya kufungwa,
Ni biashara za aina zote zinafunguliwa ,yawezekana huko uliko umeona za mafuta peke take,lakini napenda kukwambia kuwa kwa Sasa Biashara zinazidi kushamiri kila eneo Hali Inayosaidia kukuza na kuchangamsha miji yetu Hadi ya pembezoniBiashara zinazofunguliwa kila kona ni vituo vya mafuta!
Hii Insha ambayo ina aya za kutosha itakuchelewesha kuonekana maana hamna ajari ya ndege kutokea hivi karibuni ili angalau na wewe upate zali la mchongo kwa kuwa umeweka namba yako ya voda chukua kadi utajumuishwa kwenye uvccm.Ndugu zangu mnyonge mnyongeni lakini Haki Yake mpeni, Rais Samia Anastahili kupewa Haki yake, Haki ya kupongezwa, kuungwa Mkono, kupewa Faraja, kutiwa Moyo na kupewa ushirikiano.
Rais Samia Alipokea Nchi katika Kipindi Kigumu Sana kiuchumi, Alipokea Nchi kipindi Cha mlipuko wa ugonjwa wa CoVID 19, kipindi ambacho viwanda vingi vilikuwa vimefungwa ,vinafungwa au kupunguza wafanyakazi wake, Alipokea Nchi kipindi ambapo uchumi wa Dunia ulikuwa unatetemeka, kipindi ambacho ajira zilikuwa zinafungwa na kupungua, kipindi ambacho uzalishaji viwandani ulikuwa unapungua siku Hadi siku, kipindi ambacho wawekezaji walikuwa wanazidi kupungua kutokana na mtikisiko wa uchumi wa Dunia
Alipokea Nchi ambapo watu katika mataifa mbalimbali walikuwa wamejifungia ndani, kipindi ambacho kulikuwa na mfumuko wa Bei Duniani, Kabla haja kaa sawa Vita vya Ukrein vikaingia Kati, Hali iliyochochea uharibifu wa uchumi wa Dunia, mfumuko wa bei ukazidi kupaa zaidi ,Nishati ya mafuta ikawa haishikiki Wala kugusika, kila Kona ya Dunia ikawa Ni vilio na kelele za ugumu wa maisha na uchumi mbaya
Mama huyu na Rais huyu shupavu kabisa, Msikivu, Mzalendo, Imara, Mwenye Maono ya Mbali, Ndoto kubwa juu ya Tanzania mpya na Bora alianza kuusuka uchumi wetu uliokuwa umeharibiwa na CORONA pamoja na Vita vya Ukrein, alianza kuimarisha Diplomasia yetu ya uchumi, akafungua Ukurasa mpya wa kidiplomasia na majirani zetu, Afrika na Dunia nzima kwa ujumla.Taratibu tukaanza kuona mafuriko ya watalii na wawekezaji hasa baada ya wazo lake la kibunifu maarufu Kama royal Tour lililotangaza vivutio vyetu vya utalii na nchi yetu kwa ujumla.
Rais Samia akaimarisha secta binafsi ili iweze kukua vizuri na kutengeneza fursa za ajira kwa vijana, akazunguka huku na kule kuwashawishi wawekezaji katika secta tofauti tofauti, hatimaye wakaanza kuja nchini mwetu.
Akajitahidi kutoa ajira kwa vijana takribani elfu 42 katika secta karibia zote zikiongozwa na secta ya Elimu na Afya,
Rais Samia katikati ya mfumuko wa Bei akachukua hatua ya kukabiliana nao kwa kutoa Ruzuku katika Nishati ya mafuta pamoja na pembejeo za kilimo, Hali iliyopelekea kushuka kwa Bei sokoni na kutoa ahueni ya maisha kwa mtanzania, Hali ya kiuchumi imezidi kuwa njema na ya kuridhisha Sana, kwani Amejenga uchumi jumuishi unao mgusa kila mtanzania na kumnufaisha kila mtu kutokana na kuwekeza katika miradi inayogusa mtanzania mnyonge moja kwa moja, Hii ndio sababu ya Kuendelea kukubalika na kuungwa mkono na watanzania wote
Kila utakapokwenda unakuta Rais Samia anafanya kazi kubwa Sana, Unakuta umoja na upendo umetamalaki miongoni mwa watanzania, watanzania Wana amani kwa kuwa ameliunganisha Taifa na kuwa kitu kimoja ndio sababu hata viwanjani unaona picha zake zikitawala na kutamalaki huku watu wakishangilia kwa shangwe ,Vifijo na Nderemo
Watanzania Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa, Tuwe na Subira kwa Yale mambo yanayokuwa katika utekelezaji, tumwombee Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania, Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia kwa kipindi hiki, Nafikiri mmesikia kwingineko badala ya kujadili maendeleo wameanza kujadili habari za kuongeza miaka ya Rais kukaa muda mrefu Zaid madarakani. Watanzania tuna bahati kwa kuwa Rais wetu muda wote anajadili habari za maendeleo tu na namna ya kumkwamua kiuchumi mwananchi mnyonge
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627( Kwa maoni juu ya ujenzi wa Taifa letu
Yaani Taifa linasikitika kwa kuwapoteza ndugu zetu kwa ajali ya ndege halafu wewe unaonyesha kufurahia ,hakika wewe him moyo wa kitanzania ambao Ni Upendo na umoja, ukarimu na kusaidiana. Usifurahie Wala kuleta mdhaha katika masuala tanayogusa maisha ya watuHii Insha ambayo ina aya za kutosha itakuchelewesha kuonekana maana hamna ajari ya ndege kutokea hivi karibuni ili angalau na wewe upate zali la mchongo kwa kuwa umeweka namba yako ya voda chukua kadi utajumuishwa kwenye uvccm.
Acha kuandika upupu harafu utake kuonwa wewe ni mzalendo njia ni nyingi za kutokea unaweza kuwa hata chingaYaani Taifa linasikitika kwa kuwapoteza ndugu zetu kwa ajali ya ndege halafu wewe unaonyesha kufurahia ,hakika wewe him moyo wa kitanzania ambao Ni Upendo na umoja, ukarimu na kusaidiana. Usifurahie Wala kuleta mdhaha katika masuala tanayogusa maisha ya watu
Mimi Ni mkulima ninayeendelea kulima kulisha Taifa letu maana chakula Ndio usalama wa Taifa letu, Huwezi ukamuongoza Wala kusikilizwa na mtu mwenye njaa, Ndio maana kwa kulitambua Hilo ulion Rais wetu akiwatupia jicho wakulima na kutoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini katika mbolea na hivyo kupelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoniAcha kuandika upupu harafu utake kuonwa wewe ni mzalendo njia ni nyingi za kutokea unaweza kuwa hata chinga
Kawaulize wakulima wenzio, namna sahihi ya kuwa mzalendo na siyo kuandika utumbo ulioambatana na matango ya mbolea za kisasaMimi Ni mkulima ninayeendelea kulima kulisha Taifa letu maana chakula Ndio usalama wa Taifa letu, Huwezi ukamuongoza Wala kusikilizwa na mtu mwenye njaa, Ndio maana kwa kulitambua Hilo ulion Rais wetu akiwatupia jicho wakulima na kutoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini katika mbolea na hivyo kupelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni
Wewe upo nchi gani?Hali ya uchumi wetu Ni nzuri na miradi ya maendeleo inaendelea kila Kona ya nchi yetu Hali Inayosaidia kutoa ajira za moja kwa moja kwa vijana na kusaidia mzunguko wa fedha mitaani