Kwa hapa alipotufikisha Rais Samia anastahili kupongezwa, kuungwa mkono na kutiwa moyo, alipokea nchi katika kipindi kigumu sana


Huwezi ukaelewa kitu maana wewe siyo mkul
Hata watu type kama hii ni ngumu kuwa wazalendo maana hamjui uzalendo ni nini.
 
Hata watu type kama hii ni ngumu kuwa wazalendo maana hamjui uzalendo ni nini.
Naona Kuna mtu kakudanganya kwamba kuwa mzalendo Ni kupinga pinga kila kitu kinachofanywa na serikali bila hoja Wala ushahidi
 
Hatimaye leo umeweka sasa na namba yako ya simu. Ni wakati wako huu sasa wa kusubiria uteuzi. Kila la heri.
Hatimaye leo umeweka sasa na namba yako ya simu. Ni wakati wako huu sasa wa kusubiria uteuzi. Kila la heri.
Anadai yeye ni kijana mzalendo kisa kaweka namba yake ya simu inayoshia na 27
 
Naona Kuna mtu kakudanganya kwamba kuwa mzalendo Ni kupinga pinga kila kitu kinachofanywa na serikali bila hoja Wala ushahidi
Na uzalendo si kusifia kila kitu kinachofanywa, kisa kimekuwa chema machoni pako acha uzembe wa fikra.
 
UKINIULIZA SERIKALI MPYA IKIINGIA MADARAKANI CHA KWANZA ITAESEMA NINI NITAKUJIBU ITASEMA HIVI " Tumekuta account ya serikali haina kitu nyeupe".
 
Nakuombea uteuliwe kwenye nafasi ya msemaji wa serikali
 
Ni Rais gani aliewahi kuipokea nchi ikiwa katika hali nzuri?
Ni hivyo hivyo atakaye mpokea Samia atasema amepokea nchi katika hali mbaya.
 
Ukifuatilia Hali ya maisha Katika nchi za ukanda huu na Afrika yote kwa ujumla utagundua kuwa Tanzania pekee ndio sehemu ambayo Rais wetu amefanya kazi kubwa ya kutunusuru wananchi wake na mfumuko wa Bei na mtikisiko wa uchumi wa Dunia,
Tusijifananishe tuangalie Tu hali halisi kuna baadhi ya sehemu wanakula mlo mmoja tu
 
Leo hii wew unajiona ni ccm kuliko yohana mbatizaji?

Maajabu haya.
 
Angeachana na Tozo mpya kwenye magari maana mpaka sasa huu uchakavu una Tozo za kutosha sana nimemsikia akitaka kuja na Tozo ya bara barani aachane na hayo madudu najua mzee wa mawe kila wakikutana ni kushauri aina mpya ya Tozo na si kubana matumizi ya madude yao...
 
Umenena yaliyo thabiti,
 

Tuunge mkono majizi ya kura? Utakuwa unaumwa ww.
 

Anasema tuachane na mambo ya bure, wakati huohuo yeye anapata kila kitu bure!
 
Anasema tuachane na mambo ya bure, wakati huohuo yeye anapata kila kitu bure!
Nilishangaa sana wakati Nchi ina Tozo kama watu wapo jehanamu na bado wanaona watu hawalipi kodi badala ya kuwashukuru walipa kodi kila siku wanaambiwa wanaishi bure ni Nchi gani mtu analipia kodi ya gari mpaka 93 milion...
 
Du! Kuna mambo siyaelewi ndani ya Taifa langu. Sijui watanzania tuna nini vichwani mwetu?

Yaani kila anapokuja Rais mpya tunaamsha mambo ya ajabu kuonyesha awamu iliyopita haikufanya kitu.

Alipoingia mstaafu Mwinyi baadhi wakaanza ohoo Mwalimu alikuwa ametufikisha pabaya. Akaingia Mkapa, watu ohoo Mwinyi alitufikisha pabaya, akaingia Mheshimiwa Kikwete watu tena ohoo Mkapa alitufikisha pabaya, akaja Ndugu Magufuli napo ohoo Kikwete alitufikisha pabaya, sasa kaingia mama Mheshimiwa Rais Samia Suluhu napo maneno ya ohoo Magufuli alitufikisha pabaya yanaendelea.

Kwa hali hii atakapotoka mama napo maneno ya kuwa alitufisha pabaya yataanza. Ni hulka ya mwanadamu kutofautiana katika vipaumbele lakini hulka hizo zisitufanye tuwe wajinga wa kulaumu kila kitu cha watangulizi katika uongozi. Kila mwanadamu ana mapungufu yake hivyo ni vyema kutokuangalia yaliyopita na kuwasimanga bali kujenga kuanzia pale walipoishia.

Naamini hakuna mkamilifu hata mmoja katika uongozi bali kuna kukamilishana katika uongozi.

#Tanzania ni yetu sote#

NB; Kama mdundo wa ngoma umebadilika la muhimu ni wewe kuendana na mdundo sio kuanza kulaumu wapigaji wa mdundo wa kwanza.
 
Nilishangaa sana wakati Nchi ina Tozo kama watu wapo jehanamu na bado wanaona watu hawalipi kodi badala ya kuwashukuru walipa kodi kila siku wanaambiwa wanaishi bure ni Nchi gani mtu analipia kodi ya gari mpaka 93 milion...

Magari ni huduma na calculator ya TRA ni wizi wa wazi, huwezi kuchaji kodi lukuki kwa majina tofautitofauti , wakati hata kiwandani yanakotengenezwa hayana kodi za kishamba hizo
Kodi ya magari Tanzania ni Ushamba wa TRA na mamlaka nyingine zinazohusika na kukosa ubunifu wa mapato kutoka kwenye rasilimali ndio maana watu watazidi kua maskini miaka yote, Unavizia kodi ya gari ambalo manufacturer na country of origin ni mwingine, wajinga hao
 
Kodi ya gari pana Railway Developent toka miaka hiyo harafu zipo kwa usd wahuni hawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…