Kweli kabisa mkuuHa ha ha ha..jamaa bhana..Umenena vyema Mkuu!na Kama kuna bidhaa vingine wanahitaji tushirikishane tupambane pamoja wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei gani unatoa mkuu kwa gram ? Mawasiliano pia tuwekee mkuuHabari zenu wakuu, pia natafuta hii kitu kama yupo mtu anao mzigo anitafute tafadhali
mkuu kabei kamepanda kidogo ..Bado nahitaji hii kitu kama kuna mtu yupo nazo tafadhali nitafute kupitia hizo number hapo juu.
bei saiz haiwezi kupanda coz usafiri ni changamoto kwa issue hii ya coronamkuu kabei kamepanda kidogo ..
per gram
kabisa yaani kama unao mzigo nitafute tuHivi hili dili ni Kweli?
lkn bei haipo kama hvo ulivoweka ww,bei saiz haiwezi kupanda coz usafiri ni changamoto kwa issue hii ya corona