bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
Nimeenda huko gogo Maelezo mengi na mie usingizi unaniuma nilichowaletea ni huyo mteja mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh teh umerahisha kazi naonaNimeenda huko gogo Maelezo mengi na mie usingizi unaniuma nilichowaletea ni huyo mteja mwingineView attachment 830647
Kwa machinjio ambayo naweza kuyafikia yana order za watu tayari,Sasa mkuu upatikanaji ulikutatiza kivp? Nyeti unamaanisha complete mzigo wote?au ni part moja na pembe zina size au ilimradi pembe tu
Mkuu Hornet twende PM kidogo kwa ajili ya maadili hasa kuhusu hizo nyeti maana km deal lilikuwa serious na km bado lipo tuanze mapambano maana Mawe ya kwenye nyongo naona yashakuwa nyara za serikali.Kwa machinjio ambayo naweza kuyafikia yana order za watu tayari,
Nyeti ni ile inayoning'inia [emoji103]
Pembe kuna aina yake pia
Hapana mkuu sijamaanisha serious kuwa ni nyara ila nilikuwa namaanisha tu upatikanaji mgumu.Serikali hawajatia mkono huko biashara iko wazi tu
Ova
Hehehe jibu mubashara mkuuUsisome mkuu
Ova
Mkuu hiyo ambari ni kitu gani hasa,nimewai kuisoma kwenye vitabu vya alfulela ulela inaonekana ni moja ya Lulu za baharini.Kuna wakati nlikuwa nawauzia pia wachina jongoo baharini,osters,mapezi ya papa Sasa siku moja nko ofisi ni kwa mchina kuna wapemba fulani walileta kitu kinaitwa Ambari,inasemekana samaki mkubwa sana huwa anaitema jamaa walikuwa na Karibia grm 800 hivi jamaa walipewa $11000 mbele yangu na data nkamuliza yule mchina vp nkipata nkuletee a kaniambia nkipata nimpeleke ila niwe natembea sana ufukweni mwa baharini huwa inapatikana basi nliporudi Mafia nlikuwa asubuhi napiga mguu kandokando ya baharini kaa chizi hahaha lkn siku bahatika Pata alafu wa ajabu ndy wanunuzi wakubwa wa hyo kitu
Uliposema utamkia machinjioni umenikumbusha mbali
Ova
Ni kitu fulani inasemekana inatemwa kutokaMkuu hiyo ambari ni kitu gani hasa,nimewai kuisoma kwenye vitabu vya alfulela ulela inaonekana ni moja ya Lulu za baharini.