Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ya pembe na nyeti za mnyama gani au binadamu @HormetHii sijaisikia nilikua naijua ya pembe na nyeti ila kupatikana kwake kukanitatiza...
Labda nijaribu hiyo ya nyongo,
Sasa na wewe utachukua kwa bei hiyo au?
Ng'ombeMkuu ya pembe na nyeti za mnyama gani au binadamu @Homet
Vyovyote vile ila ukiwa tayari na ukizipata tutajua tunafanyeje mkuuDah mkuu kweli nimechinja ng'ombe wengi na sijui siku wakidai roho zao nitawajibu nn ila hiyo kitu sijawahi kukutana nayo ila ngoja kesho nitajaribu kufanya upelelezi kwa wadau.Je unafuata mzigo popote au ndo mie nakutafuta?..Mi kanuni yangu huwa nafanya biashara Free on board(FOB) Yaani nilipo coz nishapoteza hela yangu kupeleka bidhaa flaniflani sehemu za mbali mwisho nakutana na usumbufu usio wa lazima so km uko serious nitakupa feedback km deal linawezekana au la.
OKSyo kila ngombe anayo kikubwa kila unapochinja uwe makini tu kuangalia mkuu
Ova
Sasa mkuu upatikanaji ulikutatiza kivp? Nyeti unamaanisha complete mzigo wote?au ni part moja na pembe zina size au ilimradi pembe tuNg'ombe
Kweli mkuuSi unajua vyuma vimekazwa line zimezibwa Sasa tunarudia biashara za zamani mataita wenyewe wanataka mzigo huo....
Alafu China bei yake parefu sana mzee kuuza
Ova
Makavell changanya mbongo mkuu.Kweli mkuu
Kwa ng'ombe mmoja hutoka kiasi gani?Makavell changanya mbongo mkuu.
Jamaa kakwambia approx gr 5+ mi binafsi hiyo kitu sijawahi kuiona mkuuKwa ng'ombe mmoja hutoka kiasi gani?
Itabidi niamkie machinjioniBachelor sugu@ana connection nzuri ya kuzipata na mmoja namhakikishia %10000 anauza tena kwa pozzy kubwa
Ova
Mkuu sio kwamba nina connection ila kwa kuwa ni fursa lazima tuingie tupambane ila nimeshafanya shughuli ya kuchinja ng'ombe miaka ya 2000-2005 hivyo nina experience ya kutosha kuhusu mwili wa ng'ombe ila huku nilipo nitajaribu kufanya research ya hii kituBachelor sugu@ana connection nzuri ya kuzipata na mmoja namhakikishia %10000 anauza tena kwa pozzy kubwa
Ova