bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
Kwani watu wengi wanaujua mchongo huu mkuu mrangi?Fanya hivyo usikate tamaaa
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani watu wengi wanaujua mchongo huu mkuu mrangi?Fanya hivyo usikate tamaaa
Ova
Mjinga wewe nawe umenusa mpaka umeisikia hii harufu ya fursa? mjingamimiKama ni kweli wewe mrangi ndo rafiki wa kweli na wa faida humu
Kuna wakati nlikuwa nawauzia pia wachina jongoo baharini,osters,mapezi ya papa Sasa siku moja nko ofisi ni kwa mchina kuna wapemba fulani walileta kitu kinaitwa Ambari,inasemekana samaki mkubwa sana huwa anaitema jamaa walikuwa na Karibia grm 800 hivi jamaa walipewa $11000 mbele yangu na data nkamuliza yule mchina vp nkipata nkuletee a kaniambia nkipata nimpeleke ila niwe natembea sana ufukweni mwa baharini huwa inapatikana basi nliporudi Mafia nlikuwa asubuhi napiga mguu kandokando ya baharini kaa chizi hahaha lkn siku bahatika Pata alafu wa ajabu ndy wanunuzi wakubwa wa hyo kituItabidi niamkie machinjioni
Kikubwa asituingize chaka.Mjinga wewe nawe umenusa mpaka umeisikia hii harufu ya fursa? mjingamimi
Haaaaaaa Sawa mkuuKuna wakati nlikuwa nawauzia pia wachina jongoo baharini,osters,mapezi ya papa Sasa siku moja nko ofisi ni kwa mchina kuna wapemba fulani walileta kitu kinaitwa Ambari,inasemekana samaki mkubwa sana huwa anaitema jamaa walikuwa na Karibia grm 800 hivi jamaa walipewa $11000 mbele yangu na data nkamuliza yule mchina vp nkipata nkuletee a kaniambia nkipata nimpeleke ila niwe natembea sana ufukweni mwa baharini huwa inapatikana basi nliporudi Mafia nlikuwa asubuhi napiga mguu kandokando ya baharini kaa chizi hahaha lkn siku bahatika Pata alafu wa ajabu ndy wanunuzi wakubwa wa hyo kitu
Uliposema utamkia machinjioni umenikumbusha mbali
Ova
haya Mkuu.tunakuamini.Ni kweli syo uongo!mimi kwenye mipango syo mchoyo siku zote
Ova
Overly, mm nasema ila c kweli.Hiyo wewe unasema!
Ova
Umenikumbusha mbali sana mzee alishaifanyaga biashara ya hao jongoo wa baharini kuwatoa msumbiji ila ikafika hatua bishara ikapigwa marufuku na kuoneka sasa ni magendo.Biashara zingine mang'aa sana unaweza hangaika mwishowe unatoka kibyongo tu bila mafanikio.Kuna wakati nlikuwa nawauzia pia wachina jongoo baharini,osters,mapezi ya papa Sasa siku moja nko ofisi ni kwa mchina kuna wapemba fulani walileta kitu kinaitwa Ambari,inasemekana samaki mkubwa sana huwa anaitema jamaa walikuwa na Karibia grm 800 hivi jamaa walipewa $11000 mbele yangu na data nkamuliza yule mchina vp nkipata nkuletee a kaniambia nkipata nimpeleke ila niwe natembea sana ufukweni mwa baharini huwa inapatikana basi nliporudi Mafia nlikuwa asubuhi napiga mguu kandokando ya baharini kaa chizi hahaha lkn siku bahatika Pata alafu wa ajabu ndy wanunuzi wakubwa wa hyo kitu
Uliposema utamkia machinjioni umenikumbusha mbali
Ova
ukibisha kitu uwe na uhakika nacho.Overly, mm nasema ila c kweli.
Mimi jongoo nime fanya nimezunguka mtwara,lindi mwishowee ntaenda piga kambi Mafia na nlikaa sana kwenye visiwa vya jibondo pale tena nlikuwa na boti na mashine na madaiva wangu...jongoo aina ya pauni,barango,spin-off etc tulikuwa tunawavizia Sema upatikaanaji haukuwa mkubwa nakumbuka huyu jamaa ambayo sahv ndy dereva wetu enzi hzo alikuwa waziri wa uvuvi alifanyaga operation kubwa baharini na ziwani tukamalizwaga na tukafilisiwagaUmenikumbusha mbali sana mzee alishaifanyaga biashara ya hao jongoo wa baharini kuwatoa msumbiji ila ikafika hatua bishara ikapigwa marufuku na kuoneka sasa ni magendo.Biashara zingine mang'aa sana unaweza hangaika mwishowe unatoka kibyongo tu bila mafanikio.
We acha tu maisha haya tusogeze siku tujifie wengine wazaliwe babu yangu mmoja ndiye aliyemshawishi mzee wangu kwenye hiyo biashara ila baada ya mzee kuona ishakuwa Nyau akarudi zake TZ ila huyo babu yangu kapotelea huko huko hata sijui yuko hai au la.Mimi jongoo nime fanya nimezunguka mtwara,lindi mwishowee ntaenda piga kambi Mafia na nlikaa sana kwenye visiwa vya jibondo pale tena nlikuwa na boti na mashine na madaiva wangu...jongoo aina ya pauni,barango,spin-off etc tulikuwa tunawavizia Sema upatikaanaji haukuwa mkubwa nakumbuka huyu jamaa ambayo sahv ndy dereva wetu enzi hzo alikuwa waziri wa uvuvi alifanyaga operation kubwa baharini na ziwani tukamalizwaga na tukafilisiwaga
Ova
Hahaha Sema hela yake fast moneyWe acha tu maisha haya tusogeze siku tujifie wengine wazaliwe babu yangu mmoja ndiye aliyemshawishi mzee wangu kwenye hiyo biashara ila baada ya mzee kuona ishakuwa Nyau akarudi zake TZ ila huyo babu yangu kapotelea huko huko hata sijui yuko hai au la.
Nlikuwa nakusanya mpk makombe yale (sea shelves)nauza kwa wachinaWe acha tu maisha haya tusogeze siku tujifie wengine wazaliwe babu yangu mmoja ndiye aliyemshawishi mzee wangu kwenye hiyo biashara ila baada ya mzee kuona ishakuwa Nyau akarudi zake TZ ila huyo babu yangu kapotelea huko huko hata sijui yuko hai au la.
Poa ngoja ni google hapa gall stone nione Maelezo yakeHahaha Sema hela yake fast money
Ukiwa na mzigo unatumiwa fasta
Ova