Kwa hapa Tanzania, Wachina hununua gramu1 ya Gallstone (Nyongo) Tsh. 8000 mpaka 10000

Kwa hapa Tanzania, Wachina hununua gramu1 ya Gallstone (Nyongo) Tsh. 8000 mpaka 10000

Nikusmuggle hakuna namna
Nilijaribu kupeleka sunstone nairobi nlimpa mtu alingilia taveta nlimpa kama kg25 nliambulia siasa tu!ila watu wanafanya hivyo ila syo mizigo mikubwa

Ova
 
Nilijaribu kupeleka sunstone nairobi nlimpa mtu alingilia taveta nlimpa kama kg25 nliambulia siasa tu!ila watu wanafanya hivyo ila syo mizigo mikubwa

Ova
Inategemea ubora mkuu arusha inasoko tuma kilo tuone
 
Inategemea ubora mkuu arusha inasoko tuma kilo tuone
Ubora mzuri tu ni sunstone ya chamkoroma
Sahv Nna kg25 sunstone ya same pia....
Ila huko arusha Nyie wazee mawe ya pisi tu sana

Ova
 
Ubora mzuri tu ni sunstone ya chamkoroma
Sahv Nna kg25 sunstone ya same pia....
Ila huko arusha Nyie wazee mawe ya pisi tu sana

Ova
Yaah hapa ni full ma gem ,ila kuna jamaa ananunua lakini mlaliaji sana
 
Mkuu nimechinja sana ng'ombe na kiufupi najua iko attached sehemu flani kwenye maini but kwa ng'ombe mmoja ni almost km gram 10+,sasa hebu nipe data niingie site namna ya kihifadhi maana iko ktk form ya kimiminika lete details au km vp njoo PM
Ndugu natafuta number yako, please tuwasiliane
 
Ukik
Hizo hupatikana ndani ya hiyo bladder
Ni mawe,ndomana na Sema unapopasua nyongo hiyo unatakiwa kutizama kwa umakini sana kuna baadhi ya ngombe huwa wanakuwa nazo

Ova
[/QUOTE
Ukiyakuta hayo mawe maana yake huyo ng'ombe alikuwa na ugonjwa.Kwa sababu katika hali ya kawaida nyongo inakuwa katika hali ya kimiminika ndani ya mfuko wake(gall bladder).Na hii ipo hivyo hata kwa binadamu.Ila kuna pathologies(magonjwa) yanayofanya hayo mawe kutengenezeka.Kwa hiyo huwez kuyakuta katika ng'ombe wote.
 
Oya vipi hao wachina bado wanahitaji izo nyongo maana hali ishakuwa tete kama bado wanahitaji tuanze kujitosa kutoa hata za kuku bata mbwa paka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oya vipi hao wachina bado wanahitaji izo nyongo maana hali ishakuwa tete kama bado wanahitaji tuanze kujitosa kutoa hata za kuku bata mbwa paka

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Sasa mm nmestop mchina wangu mpk mwezi wa 7 tutaanza tena, ila nna buyer mwingine ukiwa nayo ntakulink na wadau wengi nawaunganisha kwake

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom