Kwa hapa tulipofika CCM wapo tayari kufanya lolote ili waendelee kubaki madarakani.

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
6,788
Reaction score
16,227
Ccm wapo tayari kufanya lolote lile ili Tu waendelee kubaki , kuteka, kuuwa mtu , kumpoteza mtu na ikiwezekana hata kubaka mtu ili kumdhalilisha na kumtia najisi ili Tu waendelee kubaki madarakani..Kuna mzee mmoja aliwahi kuniambia " ukiona matatizo na ugumu wa maisha umekithiri ujue wepesi na ushindi upo karibu, kwa hapa tulipofikia ccm Haina muda mrefu madarakani na itaondoka kwa aibu tena kubwa sana..ukitaka kula na kipofu usimshike mkono.
 
Samia mitano tena
 
Huu ndiyo uhalisia wenyewe
 
Huu ndiyo uhalisia wenyewe.

CCM imepoteza kabisa mvuto.
CCM imepoteza kabisa ushawishi.

Njia pekee iliyobaki ili iendelee kubaki madarakani ni kwa kuendesha Propaganda za Vitisho dhidi ya watu wote kabisa ambao wanaonekana kuwa wanaipinga Ccm.
 
Tatizo sio samia , tatizo ni uongozi wa samia.. hakuna anaemchukia huyu mama.

Lakini inavyoonekana kama bado hamjui kiini au sababu hasa ya kuwepo kwa majanga haya ya Utekaji, Utesaji, Mauaji, kupoteza watu, n.k.

Sababu halisi inayosababisha majanga yote haya ni kuwepo kwa Katiba mbaya Sana pamoja na kuwepo kwa Sheria mbaya Sana ambazo ni kandamizi. Bila ya Katiba ya nchi kubadilishwa, Bila ya Sheria Mbaya na Kandamizi kufutwa, kamwe vitendo vya Utekaji watu, Utesaji, na Mauaji ya watu kiholela havitakoma hapa Tanzania hata kama Rais atakuwa nani.

Kumbukeni kwamba vitendo hivi viovu vina baraka zake kutoka kwenye Katiba ya nchi pamoja na kwenye Sheria za nchi zilizopo hivi Sasa.
 
Ccm wapo tayari kufanya lolote lile ili Tu waendelee kubaki , kuteka, kuuwa mtu , kumpoteza mtu na ikiwezekana hata kubaka mtu ili kumdhalilisha na kumtia najisi ili Tu waendelee kubaki madarakani..Kuna mzee mmoja aliwahi kuniambia " ukiona matatizo na ugumu wa maisha umekithiri ujue wepesi na ushindi upo karibu, kwa hapa tulipofikia ccm Haina muda mrefu madarakani na itaondoka kwa aibu tena kubwa sana..ukitaka kula na kipofu usimshike mkono.
😎😎
 
Back
Top Bottom