MANKA MUSA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 924
- 1,096
Hakuna tena more death threats kama ilivyokuwa kipindi kilichopita tulishuhudia vitisho vingi kuliko wakati wote ule wa vyama vingi vya siasa katika our political history.
Rais Samia ni Kiongozi bora anafahamu umuhimu wa vyama siasa na vile vya Wafanyakazi hawezi kusema wapinzani wake wasipewe pesa kwenda kutibiwa nje, huko ni kuwa na roho mbaya isiyo na mfano.
Upinzani unaleta transparency na check balance, Mwendazake alipiga pesa nyingi kuliko awamu zote. Kwasababu hakuna sehemu yeyote ya siasa iliyoruhusiwa kuhoji, hakukuwa na bunge lenye meno lilikuwa kuwapani, Ndugai aliliendesha hovyo kama soko na mali yake.
Mwendazake alikuwa ni mkali muda wote kutisha watu,wasihoji na wasiulize chochote!!
Samia ana lead with skill, honor, and compassion. Kuna wakati amekutana na political storms without breaking stride amesonga mbele zaidi with confidence.
Ndani ya miaka miwili ya Rais Samia Suluhu na Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi, nchi imepata nembo ya demokrasia ya kweli na kuandika historia ya kupata kiongozi anayeweza kuunganisha makundi mbalimbali katika Jamii bila kujali Dini na Itikadi ndani ya muda mfupi.
“Rais Samia anakwenda kutengeneza historia itayoishi kwa vizazi vya mbeleni, Ameruka vihunzi, ameifungua milango ya nchi na amejitolea kwa ajili ya Taifa lake, Taifa linajivunia uongozi wake.
Vitabu vya wema vimeandika jina la Rais Samia kwa kalamu ya dhahabu. Vyama vya upinzani vimeondoka kwenye nightmares and cold sweats. Kukurupushwa wakati wote wamejipanga wanafanya siasa sasa.
Rais wa kwanza Mwanamke Afrika Mashariki muda si mrefu tutaanza kumsoma kwenye historia wale mnaokosoa leo mtakuwa mshasahaulika muda mrefu wakati historia ya Samia ikiishi miaka na miaka.