Kwa hasira hizi na maelekezo haya tumekwisha

Kigagula Samia atoa povu!
 
Ni kweli mtu anatoka kwao huko anakuja kuleta ujinga hapa washughulikiwe tu whether wanatoka nje ama ndani.
 
Aaah wp ni mwepesi sana.
Subiri rungu la EU
Urudi hapa tena
Slavery mentality inakusumbua wewe!! Who is EU? Wako wanahangaika na Trump tu kwa sasa labda ungesema China ndio kwa sasa tunategemea sana almost kila kitu kilichopo TZ kinatoka China, hao EU hata wakikata misaada yao tutaishi tu.
 
Reactions: Tui
Aisee kauli yake ni hatarii…naona damu zinaanza soon..hayupo aliye salama sasa..kwa kifupi ni kukaa kimya tuu
 

Mamlaka kamili
 
Slavery mentality inakusumbua wewe!! Who is EU? Wako wanahangaika na Trump tu kwa sasa labda ungesema China ndio kwa sasa tunategemea sana almost kila kitu kilichopo TZ kinatoka China, hao EU hata wakikata misaada yao tutaishi tu.
Fambaf zako, mentallity ya kitumwa iko ccm ndio maana mnatembeza mabakuli kwa mabwana waliowatawala.
 
Ni hatari sana kuwapa uongozi watu wenye akili ndogo (wapumbavu) uongozi ni akili ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…