Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Hii kauli ndio itawaamsha wanaharakati
Haya ngoja tusubiri nyumbu wakiangusha dola.Sio kutingishika tu, dola chini ya CCM inakwenda kuanguka..
Haya ngoja tusubiriHii kauli ndio itawaamsha wanaharakati
Fukuza wahuni hao wakenya.Piga kabisa,wasilete uhuni kwetu TanzaniaKuna muda Rais unatakiwa kuongea hivi kama Amir Jeshi siyo kuchekacheka na wapuuzi, madhara ya kuchekacheka dakika zote umesukumiwa hadi kwenye kona ya mwisho.
Pia na wahuni wa TZ washughulikiwe pia.Fukuza wahuni hao wakenya.Piga kabisa,wasilete uhuni kwetu Tanzania
Fukuza wahuni wakenya.Wakalere wajukuu.Kwao Kenya kunawashinda wanakuja kushika sharubu za simba.Tungepewa ruhusa tuwakong'oteKigagula Samia atoa povu!
Kila muhuni ataonja joto ya jiwe.Wahuni wakubwa hao,wanataka kuchezea sharubu za simbaPia na wahuni wa TZ washughulikiwe pia.
Piga wahuni hao.Wende kwao Kenya.Dodo la kuokota huyu mama kanogewa ukigusa dodo utadhani simba jike
Piga wahuni hao,wende kwao Kenya,Unauliza jibu. Tundu Lissu anazidi kuwa imara wakati bi mdashi wenu yupo kwenye panic mode ni full stress hajui anachokiongea.
I see.Uongozi ni mtamu, madaraka ni matamu, ata ingekua Mimi lazima niwe selfish tu ili niogelee kwenye mafwedhaaaaa
Kuna muda Rais unatakiwa kuongea hivi kama Amir Jeshi siyo kuchekacheka na wapuuzi, madhara ya kuchekacheka dakika zote umesukumiwa hadi kwenye kona ya mwisho.
Mikataba inahusu kufanya nini?Amesainishwa mikataba kwa lazima na Trump huku anatetemeka.
Awe mpole.Mikataba inahusu kufanya nini?
Unacheza na Lissu?😆Afu km kakonda
Hizi hoja za kitoto wajengee wanao hapo nyumbani kwako! humu tupo watu wazima wenye akili timamunakubaliana na Samia katika hili. CJ wawili toka Kenya ambao hawawezi kutoka kuja hapa bila kibali cha Ruto, na wote waliokuja, serikali imewaheshimu sana,walitakiwa waadibishwe kabisa. kenya ni EU kuna uwezekano mkubwa wazungu wameona wameshindwa pa kutuvuruga wanaingilia kenya, yaani tangu lini wakenya wakatupenda namna hii kutupigania? never on earth. wazungu wameingilia hapo, na kenya wenyewe tumeshawapiga sana kwenye biashara, SGR inawaumiza moyo kwa sababu tukifia burundi/kigoma rwanda na mwanza, basi bandari yao ya mombasa italia machozi wanatamani tusiendelee ili wao waendelee. kuna mengi sana yamejificha naomba watanzania msijefikiri hawa watu wanatupenda. CJ wawili wasingetoka kule kuja hapa kama hawajatumwa, na waliowatuma hawatutakii mema. tumalizane sisi kwa sisi mambo yetu lakini tusiruhusu jirani atuvuruge.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Nimelipenda hili wazoMI nashauri tuachane nao wote
Tukate mawasiliano na wazungu
Tufunge mpaka mpaka kesi iishe.
Magufuli alifanya mazuri na kwangu ni Rais Bora kbs, lkn kizuri hakikosi kasoro...hakutaka kukosolewa kbs, na hakutaka kitu kinachoitwa upinzani..hivyo basi tumia akili yako vzr unapojenga hoja, kukosoa sio usaliti.Magufuli aliona mapema kwa huyu msaliti na kumpeleka uhamishoni Ubelgiji,mama akaenda kumfuata eti 4R! Ngoja amnyooshe. Kila alichokifanya magufuli alikuwa sawa,vichaa ndio hawakumuelewa.
SawaMama amekasirika sana
Kwa clip hII, nineogopa sana. Lisu awe macho sana, na wasiwasi wangu unakuja pale ambapo hatuna independent judiciary. MAHAKANA HAZIKO HURU, hawa wanapokea maelekezo, huyu mama ATATOA MAELEKEZO! MAELEKEZO MABAYA
Kesi ya Lisu ni simple sana, lakini kwa maelekezo ya mahakama kutoka kwa mama ni mbaya sana!
We need much more pressure from outside, especially "super powers"