Kwa hasira hizi na maelekezo haya tumekwisha

We mbona umetoka Zanzibar ukavamia na kuharibu kwetu?
 
MI nashauri tuachane nao wote
Tukate mawasiliano na wazungu
Tufunge mpaka mpaka kesi iishe.
 
Unauliza jibu. Tundu Lissu anazidi kuwa imara wakati bi mdashi wenu yupo kwenye panic mode ni full stress hajui anachokiongea.
Lissu yuko Gerezani wakati mama yuko Ikulu nafikiri utakuwa na matatizo ya afya ya akili mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…