Kwa hatua ilipofikia Young Africans ni dhahiri haiwezi kusonga mbele tena kombe la shirikisho Africa msimu huu. Japo Mallumo Galants wanasuasua kwenye ligi yao ila ubora wa mbinu na ushindani wa ligi wa South Africa utawabeba. Mechi ya kwanza kwa Mkapa italeta hofu kubwa kwa Wanayanga.
Natabiri na msimu ujao utakuwa mbaya kwa Yanga ndani na nje ya nchi kwa sababu:
1. Tajiri upepo unakata (mkwanja )
2. Timu za nje zimemjua Yanga na zitajiandaa kumkabili
3. Simba atakuwa bora zaidi
4. Baadhi ya wachezaji wataondoka
4. Baadhi ya wachezaji wake wameanza kuchoka(Aucho,Djuma na Bangala ni mfano
5. Nabi ataondoka.
6. Hujuma wakati wa kupata
muwekezaji. Watajitokeza wengi na watakaonyimwa timu wataihujumu
7. Haya mabonanza yanayochezwa uchwao na wachezaji wa Yanga yanawakosesha muda wa kupumzika wakati wa likizo ikichukuliwa kwamba timu imecheza CACC final muda umeenda
N.B: Ubingwa wa msimu huu umeamuliwa na makosa ya kibinadamu zaidi kuliko ubora