Kwa hatua ilipofikia Young Africans ni dhahiri haiwezi kusonga

Kwenye wachezaji kuchoka ongezea saidoo, chama nyoni, Boko, onyango nk

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wanaumia huku mnadeal na swala la Fei,huku mnadeal na ubingwa wa Yanga kule mnadeal na nusus fainali ya Yanga, uzuri Yanga anaendelea kutoboa.
 
Hahaaa kwa utabiri uchwara wa humu ndani ya jukwaa utakua umefanikiwa sana ila kwenye uhalisia umeongea vitu vya kufikirika mno.
 
N.B: Ubingwa wa msimu huu umeamuliwa na makosa ya kibinasamu zaidi kuliko ubora

Duh! Hasira zote izi zimesababishwa na Namungo!

Mkubwaaa Jifunzeni kushinda mechi zenu, sio mnadroo na kudondoshaa point hasira mnazimalizia kwa wengine.
 
Maumivu ni makali sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnyonge myongeni haki yake mpeni mimi simba ila yanga atafika mbali kwa sababu ya nidhamu ya uwanjan hasa kwenye mashindano ya kimataifa na uwezo binafsi wa wakina mayele, simba tuna la kujifunza kwao. Hivyo basi siungi hoja mkono.
Hakuna cha kujifunza Kwa losers. Yaani form
. Form six ukajifunze Kwa form One? Wee uliskia waaapi?

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Ushaufyata.
Mzigo wa tajiri kukata ushaanza kuonekana kwa timu ya wanawake. Nabi na baadhi ya wachezaji kuondoka subiri ndani ya mwezi mmoja. Kina Djuma, Bangala n.k kuchoka limeshaonekana dhairi. Kosi limeanza jana
 
Mwandishi: Msimu ujao tutegemee mtihani mkubwa wa kufikia/ kufanya zaidi ya hapa kwa kupata mafanikio Kama haya mliyoyapata mwaka huu?

Cedric Kaze: Mtihani watakuwepo nao hao watakao kuja maana sisi tumemaliza mkataba nafikiri hao watakao kuja Yanga sc ndiyo watakua na mtihani."
 
Ona sasa hii mutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…