pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Wewe kutoiangalia simba itaipunguzia nini simba na zaid haitakuondolea ufukara ulionao.Mechi za kuangalia matokeo , highlights na kipyenga cha mwisho ni za Simba tu maana zinaboa mno hakuna haki katika maamuzi Simba inabebwa mno. Mechi zingine angalia Mkuu upate burudani. Mi nishaacha kuangalia makolo wakicheza. Mechi yao ya jana vs Dodoma Jiji sikuangalia na niko poa tu nasubiri Othman Kazi Thursday night.