Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Refa anachezesha mpira huku ana maelekezo ya matokeo nimecheka walipokua wanashambuliwa Coastal dakika za mwisho nae kama anashsmbulia imepigwa counter moja ya mwisho refa akaona isiwe tabu akamaliza mpira kuwaokoa ndugu zake wasidharirike.sana. today simba vs coastal union was shameful.
the referee came with results In his pocket.