pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Wewe kutoiangalia simba itaipunguzia nini simba na zaid haitakuondolea ufukara ulionao.Mechi za kuangalia matokeo , highlights na kipyenga cha mwisho ni za Simba tu maana zinaboa mno hakuna haki katika maamuzi Simba inabebwa mno. Mechi zingine angalia Mkuu upate burudani. Mi nishaacha kuangalia makolo wakicheza. Mechi yao ya jana vs Dodoma Jiji sikuangalia na niko poa tu nasubiri Othman Kazi Thursday night.
Wanaofilisika ni maskiniMsimu huu kolo atatoa sana bahasha, tajiri lazima afirisike ili apate nafasi ya pili.
Jombaa masikini anafirisika vipi na hana kitu??Wanaofilisika ni maskini
Fukara anafirisika vipi, ndio mangungu anawafundisha hivyo kua anaefirisika ni fukara. Fukara hafirisiki mzee anaefirisika ni yule alienacho/tajiri... Utapoteza vipi kitu ambacho huna jombaa.Mafukara ndio mnafilisika ..kabla hujazaliwa mo alikua tajiri, utakufa mo bado atakua tajiri zaidi
Sasa ole wako tukuone unaanzisha nyuzi nyingi za NBC PL siku za mbeleni na umesema kuangalia mwisho leoNi kwamba NBC Premier League ndio mwisho kuangalia leo.
Mimi si fukara Alhamdullilah.Wewe kutoiangalia simba itaipunguzia nini simba na zaid haitakuondolea ufukara ulionao.
Mimi nimesomea uhandisi, lakini kuna point hufika mtu au taasisi inayokua au inayofirisika haiitaji kusomea uchumi. With technology, the globe is now tiny, raarifa za Forbes zinatoshaJombaa masikini anafirisika vipi na hana kitu??
Uchumi ulisomea wapi wewe??
Basi marefa wa review kupitia Azam TVKufunga VAR sio swala dogo kama ikiwezekana hiyo hela wakaongeze academy za watoto. Then ligi ikianza kuingiza hela na wadhamini wengi ndio waanze kufunga polepole.
Hii nchi ina mambo sana ndio maana mi nilishaacha kufuatilia ligi hii nimebaki nasoma post tu za michezo na kutazama njeMàkosa ya waamuzi yanashusha sana hadhi ya ligi yetu ila cha kushangaza zaidi makosa haya huwa yanazifaidisha simba na yanga tu!
Punguza mahaba jadili hoja umasikini na michezo ni vitu viwili tofautiWewe kutoiangalia simba itaipunguzia nini simba na zaid haitakuondolea ufukara ulionao.
Unazungumzia mpira mtu anakuja kwenye kipato wanaamini sana kwenye hela hao hata kuua ili wapate pesa wao wanaona sawa tu..Punguza mahaba jadili hoja umasikini na michezo ni vitu viwili tofauti
Masikini hafirisiki.Mimi nimesomea uhandisi, lakini kuna point hufika mtu au taasisi inayokua au inayofirisika haiitaji kusomea uchumi. With technology, the globe is now tiny, raarifa za Forbes zinatosha
Wameshasahau. Malalamiko FCUtopwax mnapiga mayowe Sana. Kuna hali mbaya mshastukia inakuja. Juzi Tu game na Kengold mmenufaika na maamzi mabovu ya refa
vipi mechi ya leo vs coastal union.Wameshasahau. Malalamiko FC
sana. today simba vs coastal union was shameful.Mechi za Simba/Yanga zina maelekezo ndio maana hizo Timu zikifungwa inaonekana ajabu sana yaani hizo timu zikipata refa achezeshe mechi ya haki kwa haki sijui kama zitatoboa.karia kaferi anataka watu wajivunje huku mashine za VAR kazifungia kaferi kweli huyu mwananchi kwa nini zisifungwe hizo chache kwenye baadhi ya viwanja tu..