Kwa hawa Rappers wa Kike Bongo wewe mkali wako ni nani?

Kwa hawa Rappers wa Kike Bongo wewe mkali wako ni nani?

Kuna mdafada mmoja anaitwa TIFA FLOWZ, Aisee yule shori ni shigidii 🙌🏽 napenda kumuita QUEEN OF DSM, hao uliowataja wote wakasome !🤡. Sema nowdays kaacha music sababu ya wazazi wake dah 😭
 
Back
Top Bottom