Kwa haya FIFA mmenidanganya

Kwa haya FIFA mmenidanganya

Haaaaahaaa kiddo hapa sio FB kwamba unaleta article za kinazi ukadhani watu watakenua meno kwanza uandishi wako mbovu alafu unaleta utoto wa kua umeandika articles 300 ukidhani ita-justify utaalam wako.
Hapa nna ku-quote kwa mara ya mwisho maana ni kupoteza muda.

Nadhan unataman sana siku moja kua kama Mimi , huto kaa uweze kamwe , Nachofurahi ni kwamba walioko kwenye taaluma ya mpira hasa uchambuz wa mpira walinipokea na wanaheshim sana kaz zangu .

na sio hvyo tu hata ukiangalia wachangiaj humu ndani , wewe tu ndie unae ruka ruka ,,,wivu wa kijingaaaa


Pia kuna article zangu nyng tuu humu ,tafuta hii ' Nategemea kuiona Southampton ile ile , sura mpya miguu ya zamani "
 
Back
Top Bottom