Kwa haya mambo 2 natangaza rasmi kuunga mkono January Makamba kukamata kijiti kuongoza Tanzania kuanzia 2030

Ayo sasa ni mahaba.
Usikute kwako huna mgao
 
Kuishiwa akili
Kushikiwa akili
Kunuka kwa akili
Vyote vimekukabili.

2030 ina majibu ya maendeleo yetu? Au bado kasumba ya wizi wa kura inaendelea kuwaaminisha kuwa CCM ina nafasi?
 
Acha kukata miti na panda miti zaidi. Mvua zitanyesha na mabwawa ya umeme yatajaa
kwani aya mabadiliko yameanza lini ?

mbna kipindi cha mwenda zake umeme ulikuwa wa uhakika 24 hours sio kwenye matumizi mpaka uungaji umeme kuunga ulikuwa bei rahisi ambayo kila mtanzania anaiweza
 
Akaongoze tz ya nani 2030, ya mzee Makamba ,CCM au ya Mungu? hakuna nafasi hiyo tena , Kitabu kimeisha fungwa ,mtashangaa Sana , no Ccm any more from 2025 , utaki hulazimishwi,

Mungu amekichukia Sana ichi chama, kisa maneno yenu,jehuri yenu Kama vile mpo na hati miliki ya Tz , mwafaaaa ccm
 
Kwa hii movement nahisi bei ya gesi itashuka sana hapa Tanzania
Nimesikiliza hotuba za wachangiaji lakini nimesikia wakituhimiza matumizi ya imported gas yaani LPG,sikusikia gesi yetu rahisi gesi asilia ambayo Kenya na Uganda wanaisaka kwa udi na uvumba.

Kama haitoshi sikusikia matumizi ya umeme kutokea Bwawa la Nyerere kwa matumizi ya kupikia au umeme wake utakuwa haushikiki.

Pia mipango inayoendelea ya kuunganisha grid ya umeme rahisi kutokea Zambia nayo sikuisikia.
Kama haitoshi zijasikia mchakato wa kusambasa umeme kwa wingi kutoka solar kama wafanyavyo Morocco hadi wanauzia Ulaya.Natamani Mwalimu Nyerere angekuwa hai leo akapima akili zetu za kujikwamua,R.I.P Mwalimu Nyerere.
 
Mungu ibariki ccm Kama chama, umeniambia kitapigwa Kama ngoma ,ila niongezee mda wa kuishi Ili nikawe shuhuda mzuri katika ufalme wako ,thanks God
 
Naunga mkono hoja, January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
P
 
Wanaweza wakakaa pale sebuleni kwa baba yao yeye na yule dadake nyamvita sijui akawa rais wao, ila urais wa Tanzania hii? Huyo mbumbuli? Loh nakuhakikishia sahau! Weka makorodani yako yote rehani kwenye hili, hawi rais huyo tapeli hata aroge vipi!
 
Taifa lote litakuwa giza kama akiwa Waziri ndiyo umeme unakatika hivi je akiwa Rais itakuwaje?
 
Nikikuita mathako Melo ananipiga ban but ndo hivyo hilo jina linakufaa. Melo sikuogopi umenipiga ban karibu platform zote bila sababu za msingi zingine ni permanent ban Kuwajibu vibaraka kama hawa. Bora nipigwe ban ya maisha nisikutane na ujinga kama huu.
 
Polee sana unaweza kujibu kwa hoja na sio viroja. kwa mwendo huo ban zitakuhusu sana
 
Taifa lote litakuwa giza kama akiwa Waziri ndiyo umeme unakatika hivi je akiwa Rais itakuwaje?
Yeye ndo anayekata umeme au tabia zenu za hovyo za kukata miti na kuteketeza mapori ndo zinasababisha mvua zisinyeshe hivyo mabwawa kukosa maji ya kuzalisha umeme?
 
Nilisikia kongamano ni siku 2. Nategemea hizo hoja zako zitatolewa maelezo kesho
 
kwani aya mabadiliko yameanza lini ?

mbna kipindi cha mwenda zake umeme ulikuwa wa uhakika 24 hours sio kwenye matumizi mpaka uungaji umeme kuunga ulikuwa bei rahisi ambayo kila mtanzania anaiweza
Mimi niliunganisha umeme kwenye moja ya nyumba yangu mwaka 2018 na nililipa laki 9. Wewe unaesema kuunga umeme ilikuwa bei rahisi sijui mwaka huo 2018 Rais alikuwa nani?

Kama kukatika pia umeme haujawahi kuacha kukatika nchi hii
 
Yeye ndo anayekata umeme au tabia zenu za hovyo za kukata miti na kuteketeza mapori ndo zinasababisha mvua zisinyeshe hivyo mabwawa kukosa maji ya kuzalisha umeme?
Kweli wewe ni mjinga na mpumbavu si mlijitapa kuwa uzinduzi wa gesi Mtwara kukatika kwa umeme Tanzania itakuwa ni historia acheni upumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…