Kwa haya mambo 2 natangaza rasmi kuunga mkono January Makamba kukamata kijiti kuongoza Tanzania kuanzia 2030

Kwa haya mambo 2 natangaza rasmi kuunga mkono January Makamba kukamata kijiti kuongoza Tanzania kuanzia 2030

Kweli wewe ni mjinga na mpumbavu si mlijitapa kuwa uzinduzi wa gesi Mtwara kukatika kwa umeme Tanzania itakuwa ni historia acheni upumbavu.
Ingekuwa historia kweli asingetokea mtu aliyetelekeza miradi ya Gesi kwa chuki zake tu
 
Kinachotushangaza kila mtu anakuja na tambo zake ila mwisho wa yote ni bla bla.
Sio tambo miradi inahitaji consistency sio huyu anafanya hili anakuja yule anafanya vile
JPM angeelea alipoishia JK kwenye Gesi saivi tungekuwa mbali sana na usikute hata kwa crisis ya ulaya saivi sie tungekuwa among major suppliers wa gesi huko duniani na tunapiga madolari tu
 
Na mimi naunga mkono hoja,Prince January Makamba awe Rais na Prince Ridhiwan awe Waziri Mkuu na Prince Masauni,the Duke of Zanzibar awe Makamu wa Rais ili twende kwa haraka sana.
Mpaka sasa Prince January Makamba amefanya vizuri sana kwenye Umeme 🤣🤣🤣🤣
 
Hii ndio motive behind ya ule uzi wako wa jana, we chawa una matatizo sana.
 
Hayo ni mawazo yako mkuu hatuwezi kukupangia.
 
Mimi niliunganisha umeme kwenye moja ya nyumba yangu mwaka 2018 na nililipa laki 9. Wewe unaesema kuunga umeme ilikuwa bei rahisi sijui mwaka huo 2018 Rais alikuwa nani?

Kama kukatika pia umeme haujawahi kuacha kukatika nchi hii
kama wewe umeunga kwa laki 9 ni juu yako watu tumeunga umeme kwa elfu 27 tu nguzo bure 2020-21 . na kama unabisha ushaidi upo

na kipindi hiko umeme ulikuwa unakatika lakini haujuchukui dakika 30 unarudi
 
Dunia inakabiliwa na changamoto kuu mbili sasa;

1. Uharibifu wa Mazingira
2. Kujenga uchumi imara katika mazingira magumu

Kwa kuangalia kuanzia mwaka 2030 sioni mwanasiasa mwenye upeo wa kuiongoza Tanzania kupita kwenye changamoto hizi na kushinda zaidi ya January Makamba.

Kwanini January Makamba
1. Akiwa Waziri wa Mazingira alifanikiwa kwa kiwango kikubwa sana kusimamia sera ya kuondosha mifuko ya plastiki ambayo ilikuwa kikwazo kikubwa katika usafi wa Mazingira hapa Tanzania. Akiwa chini ya Rais wa sasa ambaye alikuwa Makamu wa Rais na Msimamizi wa Masuala ya Mazingira January Makamba alifanikiwa kwa asilimia zaidi ya 90 kufanikisha hili. Tanzania ilikuwa safi na ilifanikiwa kuondokana na mifuko ya plastiki chini yake

2. Sasa akiwa Waziri wa Nishati ameanzisha movement ya kuhamasisha nishati mbadala ya Gesi ili kuliokoa Taifa hili ambalo sasa linatishwa kiuchumi kutokana na ukataji mkubwa na uharibifu mkubwa wa misitu unaotokana na matumizi ya kuni na mkaa katika kupikia.

Kwa mambo haya napenda kusema mimi Lord Denning namuunga mkono January Makamba for presidency coming 2030.

Lord Denning
Mwanza
Mavi mavi kabisa. Mfyuuuuuu
 
Back
Top Bottom