Kwa haya ya Baltazar, kuna nyaya kwenye maisha hupaswi kuzikanyaga na pia privacy kwenye mambo ya familia ni muhimu

Kwa haya ya Baltazar, kuna nyaya kwenye maisha hupaswi kuzikanyaga na pia privacy kwenye mambo ya familia ni muhimu

Swali la kujiuliza hapa ni kwanini mamlaka za Guinea hazijasema kwamba hizo picha ni AI ?
Sasa mfano wewe umpige mwanao unaweza kujiuliza wewe mwenyewe..?? Kwa case ya huyo jamaa mie Sina utaalamu wa kujua hiyo ni AI or not...lakini kama kuonana na shetani inawezekana...basi hakuna linaloshindikana
 
Kwa maana yote yanawezekana si ndiyo?

Swali la pili,hizi tuhuma ni nzito na ukichukulia zimechafua taswira nzima ya nchi pamoja na watu mashuhuri,je hiyo serikali ya Guinea haikuweza kugundua kwamba hizo picha ni za Al ili iweze kurudisha heshima yake kama nchi?
Deals
Mwanamke akikuamini unafanya nae chochote
Vijana hamsikii soma hii:

Na Jayne Augoye
"Nimedhalilishwa. Ni sifa yangu, heshima yangu. Nataka kujua video hizi zilitoka wapi na kwa nini alizihifadhi".
Cristel Nchama, mmoja wa wanawake katika kanda za ngono za Baltasar Engonga, ana malalamiko rasmi na Gendarmerie ya Kitaifa ya Malabo (The Armed Forces of Equatorial Guinea).

Real Equatorial Guinea inasema Bi Nchama ndiye mtu wa kwanza kuwasilisha malalamiko rasmi dhidi ya Bw Engonga; ya wanawake wote katika kanda za ngono ambamo alikuwa na uhusiano wa kimapenzi nao,

Bw Engonga, kwa jina la utani Bello, aliondolewa hivi majuzi kama Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Kifedha (ANIF) baada ya kusambazwa kwa video za ngono zinazomhusisha na wanawake wengi kusambaa mtandaoni wikendi.

Bw Engonga ni mtoto wa Baltasar Engonga Edjo, rais wa sasa wa Jumuiya ya Kiuchumi na Fedha ya Afrika ya Kati (CEMAC).

'Nilidanganywa'

Gazeti hilo liliripoti Bi Nchama akisema alidanganywa na mpenzi wake wa zamani, akijiona kuwa "mhasiriwa" baada ya video za ngono za Bello kuwekwa hadharani.

Kulingana na mwanadada huyo, alikataa kurekodiwa na mpenzi wake wa zamani, Bello, mara kadhaa lakini alikiri kwamba walirekodi matukio yaliyofutwa mara moja.

"Nimefedheheshwa. Ni sifa yangu, heshima yangu. Nataka kujua video hizi zilitoka wapi na kwa nini alizihifadhi," Bi Cristel alilalamika.

Amedai katika Gendarmerie kwamba Bw Engonga arekebishe uharibifu na hasara iliyosababishwa na video hizi.

Kulingana na Guinea24 , alisema ni kawaida kwa watu wazima wawili kupata wakati wa shauku na kufanya mambo ya kichaa wakati wa tendo, lakini haoni kuwa ni busara kuweka aina hiyo ya maudhui kwenye kifaa.

Baada ya malalamiko haya ya kwanza, Gendarmerie ya Kitaifa iliwaalika wanawake wengine walioonekana kwenye video zilizorekodiwa kwa siri kuripoti kesi na kuwasilisha malalamiko yao.

Eneo la mahakama

Katika habari zinazohusiana na hizi, Waziri wa Sheria, Dini na Haki za Kibinadamu, Reginaldo Biyogo Mba Ndong, alifika kwenye bafu la Mahakama Nambari 1, eneo la video moja ya Bw Ebang.

Kulingana na Impresario Ge , Bw Ndong aliulizwa kuhusu ukweli kwamba maudhui ya wazi yalirekodiwa katika vyoo vya mahakama na kusisitiza kwamba hatua mpya za udhibiti na usalama zitapitishwa.
 
Sasa wale wanaosema Al waje waseme kama haya malalamiko ya huyu mwanamke nayo ni Al

Binafsi naamini kabisa kama yangekuwa ni Al lazima serikali ya Guinea ingepata uchochoro wa kutokea kutokana na kashfa hiyo

Lakini hata Baltasar mwenyewe asingekubali kashfa ambayo si ya kweli,kwahiyo huenda kuna baadhi Al lkn si sawa kusema eti zote ni Al video
 
Upo sahihi. Na hata hizo za AI wahusika ni kuwa alikuwa anawagonga kweli
 
KIAZI

NILETEE PICHA ZA WAKE WA HAO VIONGOZI , HALAF ANGALIA HIZO VIDEO KAMA KUNA HATA MMOJA

LETA PICHA YA MKE WA KIONGOZI AMBAE YUPO KWA VIDEO .

Kuweni Smart dunia inaenda kasi

Pia ni mafundisho msipende kuingia bifu na watu

Chuma pesa lea famia, bifu na wakuu hazifai

Ukila mke wa mtu make sure mme wake unamjua, ni mshamba tu au ni kibosile mwenye Power .

Hata ishu ya babu seya it was all about bifu, ingekuwa kwa sasa hata yeye angefanyiwa ivo

Hakuna uhalisia hata kwa akili ya kuzaliwa

U fucq all women na wake za wakubwa then ujirekodi, are you mad ?

Hata hivyo hizo video zote tumepitisha kwenye AI detector tool

Zote zimefeli tena kwa 100 💯, ni fake na ilikuwa ni project ya kumuangamiza jamaa kama ile project ya babu seya, Mzee Jumanne Kimambi na Binti wa dovya, au bifu la Ulimboka au Tundu Lissu

Ubaya ubwela
Acha kudanganya watu hapa
 
Unaweza kudhani ni kweli kabisa Mzee Baltazar alisafisha kweli wanawake 400; dunia ya sasa imekuwa ni mazombi, just play with social media.

they believe everything from the social media without critical analysis, cha ajabu hata vyombo vya habari now days vimekuwa useless, wapo busy na nani atakuwa wa kwanza ku post.

Hii imenikumbusha enzi ya Babu Seya, Baba Kaka na watoto wote sehemu moja wamebaka.

Mwisho kabisa inakuja kujulikana kuwa jamaa alikanyaga nyaya hatari. Hiki ndio kimemkuta Baltazari matokeo yake jamaa kachafuka na wameharibu reputation ya familia

Now days kuna AI na Machine learning ambazo ni ngumu kutofautishq outputs zake na original. Ndio kinachomkuta Baltazar baada ya kukanyaga nyaya Hatari kwenye pita pita zake ndani ya jengo kuu

Vijana tuwe makini, sio kila nyaya inayojileta unataka pita nayo, chunguza kwanza mtu wake anapower kiasi gani na how stronger uta handle mikiki, wanawake wengi wa vigogo ikulu wana stress hatari maana jamaa zao hawana
Muda na wanakuaga na multiple relationships kwenye heka heka zao na hata nguvu zinakuwa low to handle kwa ulienae ndani.

Matokeo yake ukimpata mtu wake na ukimgusa tu hakuachi halaf along the way wana lose control hadi jamaa yake anastuka…… WAFWA……kama Baltazar

Nguza alikanyaga nyaya za kigogo wa state mliona kilichotokea.

kitu kingine, vijana kwa dunia ya sasa it is not worth it kuweka family issue kwenye social media , siku ukijichanganya kwenye line za wahuni utakuja kunielewa

Hakuna ulazima watu kumjua mke wako au watoto zako, hata your Staff Members hawapaswi kujua anything about your spouse and family issue except work issues

we are not perfect

Kujichanganya ni kawaida in life, unaweza ukajikuta umeingia cha kike, hata kwenye financial conflict or property conflict, mapenzi.

Manipulations alizofqnyiwa Baltazar, Nguza na Hata Mzee Kimambi na wengineo inatupa akili tunapaswa kuwa makini kwenye pita pita zetu

Famili ya Baltazar ipo kwenye shame with fake videos just for the interest of one person at the top.

Kazi kwenu
Fact , watu wanauwezo mdogo wa kuchanganua mambo
 
Kwa bahati nzuri dada ni binadamu Tena mwenye thamani kubwa. Kukuthibitishia mwanamke ni kiumbe wa thamani, ni pale ambapo sisi wanaume huwa tunauana tukifumaniana, lakini sijawahi kuona mwanamke anaua mwenzake katika fumanizi! Hivyo kuniita dada hakunisumbui
Ni kweli hujaona wanawake wakiuana?
 
Uko sahihi mimi niligundua tangu Day One ukizingatia kazi ya jamaa.

Ni kweli alikutwa na video mbili tatu lakini sio 400.

Wake wa mawaziri( waziri gani)
Wake wa vigogo( akina nani)
Mpwa wa Rais( jina lake nani)
Jamaa alikuwa Mkaguzi na Mpelelezi Mkuu wa CAG ya Guinea ya Ikweta. Sasa amegusa Mipunga ya Ma Tycoon.

Most likely hakutaka ku compromise, most likely alimgusa Theo Obiang au Genge lake.
M

Kwenye mapungufu ya mahusiano ya hapa na pale kwa wenzetu chama cha kijani hakuna anayeweza kupona.

Watu wana mafaili makubwa sana😀😀
Kuna kitu hapa
 
Back
Top Bottom