Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Khaa, hakuna cha heshima hapo.Alikua anamheshimu Mke wake ndo maana hakuwahi kum record...!
Yeye anasema utapita tu. Msikilize hapa 👇Huu upepo bado haujapita?
Google "leaktube" halafu ukiingia leaktube pale kwenye "search" andika Baltasar video zitakuja zote hata bila VPN inakubali.Link mnazipata wapi mkuu tushee
Yaan watu wengine sijui huwa wanawaza kwa kutumia nn mkuu hawajui Dunia ni tambala bov hakuna fake hapo hata wakijayaona ya wachungaji wao ya nyuma ya pazia hawata aminiUfanye A.I uweke sura za wakuu wa Taasisi wakuchekee sio? Mpaka mmoja wao kajinyonga wewe bado unaona ni A.I tu?
Zile clips ni kweli jamaa kala ile mizigo
Huyu jamaa anatuonaje sijui? Eti ai na machine learning...kwamba ndio tushituke ama? Kwa mwanaume mwenye pesa na madaraka halafu mpenda wanawake mbona hata 1000 ni idadi ndogo tu. Mwanaume haendi hedhi useme ashindwe kusex baadhi ya siku. Na kwa siku mwanaume anaweza lala na wanawake zaidi ya mmoja. Sasa 400 ni kitu gani.Ai ndo iweke sura tofauti tofauti za wake za watu?
Halafu kipi kigumu kuamini hao michepuko 400 plus?
Unazungumziaje na hii ya Mahakama kupokea ushahidi wa AI?Mkuu watu hawajui hicho kitu, zile video mashaka yalianzia kwa ile yupo kwenye maji na ukiangalia vizuri soundi inapanda na kushuka halafu jamaa anaongea maneno Fulani sijui ni kihispaniola kile lakini yapo very similar kwa video zaidi ya 5 na Bado wale watu wanawake wote wanaonekana hawana hofu ilihali wote wanajua wanarecodiwa. Hivi kweli mke wa mtu utamrekodi vile na aendelee kufurahi tu?
Kwamba wewe ndo una access ya A.I detector tools ila yeye, mawakili wake, marafiki zake, wale wanawake & waume zao hawana access wala hawaijui hiyo A.I detector tools ili iwatoe kwenye hiyo aibu?Mimi ninazo na nimepitisha kwenye AI video detector tools, zote ni AI
Unayo AI video detector ? Ni ya kulipia, pitisha hizo video nipe majibu
TZ ni very poor country hata technology huchelewa kufika, imagine hadi karne hii TZ kuna watu wanalipia eti kufanyiwa matangazo instagram 😹😹😹😹😹
Unahitaji ujinga kiwango cha reli kuamini hayo mavideo
Hata ya mke wake ni fake
Jamaaa kakanyaga pabaya
Mkuu wanawame hawa hawa ? Au unazani akishakua mke wa mtu ndo anapata akili?Kama zipo za Kweli ni za machangudoa tu. Mwanamke gani wa mtu akubali kuchukuliwa hizo video na kesho yake uwe ushahidi wa kuvunja ndoa yake!
Huyu jamaa anataka kujifanya tech geek ati ai , machine learning tfZile video za huyo mwamba zimerekodiwa kwa simu yenye camera yenye viwango...video hazina giza giza ...sura za watu wote zinaonekana ka kwenye muvi vile...hakuna editing wala nini.
Utetezi mwepesi huu ndio ulikuwa unawatetea kina nyundo kwa binti wa yombo eti video ni feki. Kwa power structure ya Guinea na ilivo concentrated kwa familia ya rais ambaye yu madarakani kwa miaka 40 sasa ambaye nae aliuchukua urais toka kwa mjomba wake, mtoto wake ndio makamu wa rais na rais mtarajiwa, aanze kuhangaika na ai for what wakati neno moja tu lake ni sheria. After all huyo bwege kesi ya ngono ni nothing compared to kesi ya grandtheft anayokabiliana nayoNi reputation.
Natamani kusikia kwanini unasema Sio AI! Do you think tulipofika unaweza kuitambua AI kwa macho 😹😹😹?
Unatumia tool gani kusema sio AI ? Au umejiongeza Mkuu… huyu kajiua hawa hawajakana therefore , sio AI ?
Huyu anachamsha kijiwe tu, asikilizwe ila hoja ya ai ipuuzwe. Video ni halisiPlus vyombo vya habari vikubwa i.e BBC wareport hiyo taarifa bila kujihakikishia kua ni A.I au sio? Sikupingi juu ya uwezo wa A.I lkn mbona dots ni nyingi sana
Hawajui bado. Hadi atapokamata ushahidi wa mkewe ndio ataamini.Mkuu wanawame hawa hawa ? Au unazani akishakua mke wa mtu ndo anapata akili?
Kwamba wewe ndo una access ya A.I detector tools ila yeye, mawakili wake, marafiki zake, wale wanawake & waume zao hawana access wala hawaijui hiyo A.I detector tools ili iwatoe kwenye hiyo aibu?
Yaani serikali ichukue uamuzi wa kufukuza wale wanawake wote serikalini na wanajua kua hizo ni A.I maana they have all the tools at their disposal?
Haya yatakua ni maajabu.
Hapo umesema kweli,mke wa mtu anapotembea nje ya ndoa,yule mwanaume humchukulia kama malaya tu,unaweza ukadhani ni mapenzi lakini moyoni mwake anajua anachofanya,use and abuse.Niliwahi kufanya taasisi moja,mwanamke mmoja mke wa mtu alikuwa anatembea na moja ya staff pale ndani,yani yule jamaa kuna wakati akiingia pale ofisi anamkumbatia yule mama,saa nyingine anamchezea kiuno au mabega na kumtekenya mbele yetu....Dah..!
Ujue umeongea kitu kilinifikirisha pia..! Jamaa hakuwahi kum record mkewe, means alikua ana mheshimu...!
Wale Wanawake wengine aliwa record japo wengine ni wake za Watu, means aliwachukulia kama Malaya tu.
Watu wapo nyuma Sana na Technology japo umejaribu kuwaonyesha kidogo tena umeifanya Kwa uharaka tu, AI watu bado hawajaijua wenzetu wapo mbali sana
Mwanamke akikuamini unafanya nae chochoteKama zipo za Kweli ni za machangudoa tu. Mwanamke gani wa mtu akubali kuchukuliwa hizo video na kesho yake uwe ushahidi wa kuvunja ndoa yake!