B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Ni ukweli kabisa usio pingika hata kwa 0.00000000000000001% hauwezi kukataa alichokisema polepole
Kwa wale walio sajiliwa katika mfumo wa Kidigital wa MAFISIEMU. Ni kweli utakuta taarifa zako za NIDA mfano picha yako uliyo sajiliwa NIDA ndiyo ile ile itaenda kuwa profile picture yako ya CCM digitali. Zipo taarifa zingine zako zooote wanazo huko ccm.
Kesho au kesho kutwa au baadae una msikia zitto kabwe ana bwabwaja tutalinda kura. Mwaambieni Zitto kabwe aachane na siasa za kidalali aanze kusoma hitaji la watanzania. Nchi yetu mliidalalia sana ila tuna shukuru Mungu now tuna ona namna mabaya mliyo yaficha yalivyo fichuka.
Yote mbeba maono kaweza kutupa mwanzo wa aibu kwa mafisadi.
Wakuuu mafisadi yapo kote kote kula chadema wanawaita madalali wa kisiasa kina mbowe na watu wake wale G55 now wapo chauma.
Kwa hili unaenda kupiga kura ya nini..?
Kura nikapige nipate nini..?
Matokeo ya kura si watatengeneza tu.
Mwisho
NO REFORMS NO ELECTION
tuliokoe taifa na mwisho zaidi tusiwe majasiri tu nyuma ya keyboards tusogee tarehe 29/10/2025 kuandamana kwa amani kukataa huu uhuni.
Nitakuepo