Wote tunamfahamu Masanja vizuri alivyojilea na kujikuza. Ni mchekeshaji na ndiyo kazi iliyomtangaza. Lakini pia tunamfahamu kuwa ni mropokaji asiye na adabu mbele ya watu na ana matusi na mizaha isiyo na mipaka.
Sasa mtu kama huyu anaanzisha kanisa la kumwabudu Mungu halafu watu wanamfuata na kumuamini. Hivi kweli wafuasi wa kanisa la Masanja wapo sawa kabisa kichwani? Au kuna namna watu wanaendeleza mizaha hadi kwenye mambo ya imani?