Kwa haya ya Masanja nitakuwa wa mwisho kuamini Watanzania tuna akili timamu!

Kwa haya ya Masanja nitakuwa wa mwisho kuamini Watanzania tuna akili timamu!

Kwani tanzania kuna watu wenye akili timamu!?

Tanzania karibia watu wote ni wendawazimu na wajinga na wajinga zaidi wamejaa pale mjengoni dodoma ndo maana hata yule mwehu wa burundi aliehamia kagera biharamulo alitusumbua
 
Wote tunamfahamu Masanja vizuri alivyojilea na kujikuza. Ni mchekeshaji na ndiyo kazi iliyomtangaza. Lakini pia tunamfahamu kuwa ni mropokaji asiye na adabu mbele ya watu na ana matusi na mizaha isiyo na mipaka.

Sasa mtu kama huyu anaanzisha kanisa la kumwabudu Mungu halafu watu wanamfuata na kumuamini. Hivi kweli wafuasi wa kanisa la Masanja wapo sawa kabisa kichwani? Au kuna namna watu wanaendeleza mizaha hadi kwenye mambo ya imani?
Lini tutaacha upopoma?.

Wanamuziki wana dini zao hadi wanajenga misikiti, ndio hao hao wanaoimba ichome, ichomoe, ilengeshe, iteleze.

Kuna ajabu gani Masanja akiwa komedian na akawa na imani yake?

Komedian hawaruhusiwi kuwa wacha Mungu?

Uchekeshaji ni kazi na dini ni imani...acheni uzuzu
 
Mwacheni bwana mtu na mtu wake je wenu Yesu alisema kama wewe ni msafi sana hauma dhambi basi nyanyua jiwe umpige huyu kahaba watu wote kwa Mungu ni wenye dhambi hakuna mtakatifu my dear .
So fanya yako kama aliyeoa hana mpango na inshu ya kujiua niwewe usiye julikana pilipili yakuwashia nini nauku iko shambani ?????
 
labda ndiyo watu wanaenda kwa wingi kwa ajili ya kumranda mama mchungaji kama hayati katibu alivyokua anafanya.
 
Kwa sababu wako wengi kama Masanja wameanzisha makanisa ya namna hii na wanapata wafuasi wengi tu!
Kwahiyo we unawapangia watu namna ya kuishi na kusali?
Kila mtu anaishi anavyopenda ilimradi havunji Sheri ya nchi!
Katiba ya nchi imempa Kila mmoja uhuru wa kuabudu,we ni nani mpk uanze kuhukumu watu eti hawana akili?

Km ni rahisi na hawana akili km unavyodhani we mwenye akili anzisha kanisa lako basi!
 
Ndio uamini tuna tatizo kama taifa. Hatuna hata vigezo vya kueleweka. Bora hata Kagame, huna digrii ya theolojia, biashara ya kanisa haikuhusu.
Mbona hao wenye degree ya theology ukiyajua ya kwao ndo ushenzi mtupu?
Kisa hamuyajui ndo maana mnaona wanafaa?
Acha tukae kimya tu!

Katiba inaruhusu kuabudu unachotaka Ili mradi huvinji sheria ya nchi!
Mambo ya Imani ni masuala binafsi..
Mungu hapangiwi amtumie nani,afanye vipi kazi, anaweza mtumia yyt aliye tayari haijalishi yukoje; kasome biblia vizuri.
Usihukumu usije ukahukumiwa!
 
Lini tutaacha upopoma?.

Wanamuziki wa dini zao hadi wanajenga misikiti, ndio hao hao wanaoimba ichome, ichomoe, ilengeshe, iteleze.

Kuna ajabu gani Masanja akiwa komedian na akawa na imani yake?

Komedian hawaruhusiwi kuwa wacha Mungu?

Uchekeshaji ni kazi na dini ni imani...acheni uzuzu
[emoji1787][emoji1787] nimecheka
 
Kwani watanzania wote wanasali kwenye hilo kanisa la Masanja mpaka useme "Nitakua wa mwisho kuamini watanzania tuna akili timamu"
hao hao wachache wanaosali katika hilo kanisa ndio wanawakilisha akili za watanzania,sababu makanisa kama ya kina Masanja yapo Tanzania nzima
 
Wote tunamfahamu Masanja vizuri alivyojilea na kujikuza. Ni mchekeshaji na ndiyo kazi iliyomtangaza. Lakini pia tunamfahamu kuwa ni mropokaji asiye na adabu mbele ya watu na ana matusi na mizaha isiyo na mipaka.

Sasa mtu kama huyu anaanzisha kanisa la kumwabudu Mungu halafu watu wanamfuata na kumuamini. Hivi kweli wafuasi wa kanisa la Masanja wapo sawa kabisa kichwani? Au kuna namna watu wanaendeleza mizaha hadi kwenye mambo ya imani?
Ndio maana Mungu kaonyesha wazi kuwa aibu aipate ya wazi Katibu amtomb€€ mke wake Masanja, sbb anafanyia biashara jina la Mungu, imagine kuanzisha kanisa ni kunajisi imani ya kikristo kabisa.

Sasa Masanja muanzisha kanisa, mke wake kagongewa na Katibu, ili aibu iwe kubwa kanisa life, sbb hilo ni pigo toka kwa Mungu..
 
Hao wanaosali huko ni asilimia mgapi ya population ya watanzania?
Siyo suala la asilimia, tujadili janga la afya ya akili inayowakabili baadhi yetu wanaodhulumiwa kwa sadaka kwenda kwa mapasta feki!
 
Back
Top Bottom