Kwa haya ya Masanja nitakuwa wa mwisho kuamini Watanzania tuna akili timamu!

Izia maji

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,997
Reaction score
5,385
Wote tunamfahamu Masanja vizuri alivyojilea na kujikuza. Ni mchekeshaji na ndiyo kazi iliyomtangaza. Lakini pia tunamfahamu kuwa ni mropokaji asiye na adabu mbele ya watu na ana matusi na mizaha isiyo na mipaka.

Sasa mtu kama huyu anaanzisha kanisa la kumwabudu Mungu halafu watu wanamfuata na kumuamini. Hivi kweli wafuasi wa kanisa la Masanja wapo sawa kabisa kichwani? Au kuna namna watu wanaendeleza mizaha hadi kwenye mambo ya imani?
 
Wafuasi wa paulo hawana akili timamu wengi wao . Hata mcheza picha za ngono akifungua kanisa watamfuata
 
🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…