Kwa Hayati Magufuli hela anazotumia Tundu Lissu kuzurura zingetumika kujenga zahanati nchi nzima

Pumbavu sana wewe hivi Leo CCM inafikisha miaka 60 ikiwa madarakani, je kwa nini mpaka leo haijayafanya hayo unayoyalalamikia?
 
Ndio waliuawa na nani ushahidi please?
Unaomba ushahidi barabarani? Bwana luqman molotov mwandishi kutoka mwananchi amefungua case ipo mahakamani .ni case dhidi ya IGP kushindwa kuwatafuta hawa watu. Wewe kaa kwa kutulia! Japo hata hukumu ikitoka mtapinga kama ile ya ASSAD TU.
Jamaa menu lilikuwa haliheshimu haki za watu. Alitawala kama nyapara
 
Mungu ni mwema anabariki kila mwanadamu anayemnyenyekea na anayejifanya ni Mungu humwadhibu bila kujali cheo,umaarufu au pesa zake.
 
Ipo wapi 1.5 T
Nenda ubungo, Nnda kimara mail Moja,Nenda pale station Central, nenda rufiji kwenye bwawa la umeme, Nenda airport, Nenda mwanza ziwani kunameli kubwa ya abiria na mizigo, kama siomageni mjini nenda pale Agakhan hospital ulizia Tanzanite bridge, nenda mitaani huko kijichi na maeneo mengine ukiona lami na taaza barabarani uswahilini, Nenda kwenu msoga chalinze wami ukikuta daraja lakisasa mto wami simama hapo utazionaizo 1.5 T.
 
Kwa hiyo Report ya CAG ilikosea kutoa taarifa?
 
Mbona hawakugoma sasa?
 
Zile zina hesabu zake usituchanganye ubungo tunapita kila leo hapo sawa tuna ulizia ile 1.5 T haijaonekana imefanyia nn. Hayo maeneo unayotaja pesa zimepigiwa hesabu na bunge linajua wapi zimepatikana. Ulichojibu ni upumbavu
 
Mbona hiyo miradi Bado inajengwa, pesa zinatoka wapi. Tena kwa Sasa imekuwa mingi Sana. Punguza uongo.
 
U
ULivyo boya hayo unayotaja mengi ni mikopo na hisani daraja la tanzanite na fly over ni hela ya nchi yako au hisani na mikopo. Pumbavu jizi lile
 
Wee mbwa kwani Tundu Lissu ni NGO au serikali ya kutoa fedha kwa ajili ya miradi ya maendeleo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…