Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hapo kwenye mgagi.. KAMWENE..!! Ungeandika mkota ningesema TUKUWONI..!! π π π πHivi si kuna gari iligonga mgagi wa mahindi na dereva akavunjika kidole.Na inasadikika alitokea UDOM "kufundisha" sayansi-kimu!
Mbona kila wakati stori zenu chato mbona hamsemi hospital ya kumbukumbu ya mlw Nyerere huko mara, mradi mkubwa wa maji Arusha, huoni reli alizozifufua Moshi nyie mnachuki na Magufuli mkijicha kwenye kichaka cha ChatoPropaganda ipi?. Kujenga international Airport Chato na kuiruka Mwanza city?.
Sijasema hakuwa na mazuri, mabaya yalizidi mazuri..!! Hapo kwenye mabaya kuna uhai wa watu ulipotea pia, kuna waliowekwa vilema vya kudumu e.g akina Lisu. Ukiulizwa akina BEN SAANANE waliko unaweza sema? Azory je?Hata barabara za juu ulikuwa unaziona ulaya sasa hivi unajifanya hujui bingwa wa miundombinu alifanya makubwa ndani ya muda mfupi hadi watangulizi wake wakaona aibu.
Wewe ni kiazi tr .gani CAG alishasema hakukuwa na upotevuHuna akili hata chembe. Huyo JPM zile 1.5T kazipeleka wapi? Zisingetosha kujenga zahanati nchini?
Kwani hao kina Ben sanane, azori Agwanda sijui lisu ndio wamuhimu waliokufa kuliko watanzania wengine yupo wapi dk Mvungi, chacha wangwe, davide Mwangosi, amran kombe,dokta ulimboka alitekwaSijasema hakuwa na mazuri, mabaya yalizidi mazuri..!! Hapo kwenye mabaya kuna uhai wa watu ulipotea pia, kuna waliowekwa vilema vya kudumu e.g akina Lisu. Ukiulizwa akina BEN SAANANE waliko unaweza sema? Azory je?
Wiki hii kuna watu wameuawa kimyakimya nyanda za juu kusini. Vipi mama naye anakiwasha kama JPM?Sijasema hakuwa na mazuri, mabaya yalizidi mazuri..!! Hapo kwenye mabaya kuna uhai wa watu ulipotea pia, kuna waliowekwa vilema vya kudumu e.g akina Lisu. Ukiulizwa akina BEN SAANANE waliko unaweza sema? Azory je?
Usiende mbali mkuu, wiki hii tu nyanda za juu kusini watu wameuawa kwa mafungu. Kagera mwenyekiti wa kijiji aliuawa mwaka huu, kuna mwanafunzi wa UDOM bado watu wanarushiana mpira.Kwani hao kina Ben sanane, azori Agwanda sijui lisu ndio wamuhimu waliokufa kuliko watanzania wengine yupo wapi dk Mvungi, chacha wangwe, davide Mwangosi, amran kombe,dokta ulimboka alitekwa
Ok, pamoja na ukiazi wangu, hizo 1.5T;
Asante kwa kuongeza idadi. Sasa hapo ndo tunaona ubaya wa jule jamaa..!!Kwani hao kina Ben sanane, azori Agwanda sijui lisu ndio wamuhimu waliokufa kuliko watanzania wengine yupo wapi dk Mvungi, chacha wangwe, davide Mwangosi, amran kombe,dokta ulimboka alitekwa
Hawa walioongezeka vifo vya vilikuwepo tawala zingine sasa nakuuliza kwanini utawala wa Magufuli mmeushikia bango sana mkiulizwa mauaji yapi mtaishi kuwataja azori Agwanda,na Ben sanane kwanini hamuongei tawala zingine kuna watu walikufaAsante kwa kuongeza idadi. Sasa hapo ndo tunaona ubaya wa jule jamaa..!!
Hilo ni jukumu la serikali ya ccm, mbona unambebesha jukumu ambalo si lake.Mafisadi na mabeberu mpaka leo wanajiuliza Hayati Magufuli alikuwa anatoa wapi hela na kujenga miradi mingi sana kwa wakati mmoja, kila kijiji, kata, wilaya nchini Tanzania ilikuwa na mradi wa Magufuli, zahanati na hospitali ziliota kama uyoga.
Jibu ni kwamba Magufuli alikuwa anatoa hela kwa mafisadi, mfano sasa hivi Chadema wamelamba asali na kukubali kupokea mabilioni ya pesa za walipa kodi kutoka kwa Rais Samia, hela ambayo kwa sasa wanaitumia kuzunguka nchi nzima wakitukana viongozi na kuhamasisha maasi nchini.
Hela ambayo ilitakiwa ielekezwe kutatua huduma za kijamii wanapewa Chadema ili waitumie kuruka na helkopita kufanya umalaya na kuhujumu miradi ya maendeleo.
Watanzania wengine ni mahodari kujisahaulisha! Magufuli kachukua mikopo tele kisirisiri na hata baada ya hili kuwekwa wazi baada ya kifo chake bado kuna watu mnajifanya kutokumbuka hilo.Mafisadi na mabeberu mpaka leo wanajiuliza Hayati Magufuli alikuwa anatoa wapi hela na kujenga miradi mingi sana kwa wakati mmoja, kila kijiji, kata, wilaya nchini Tanzania ilikuwa na mradi wa Magufuli, zahanati na hospitali ziliota kama uyoga.
Jibu ni kwamba Magufuli alikuwa anatoa hela kwa mafisadi, mfano sasa hivi Chadema wamelamba asali na kukubali kupokea mabilioni ya pesa za walipa kodi kutoka kwa Rais Samia, hela ambayo kwa sasa wanaitumia kuzunguka nchi nzima wakitukana viongozi na kuhamasisha maasi nchini.
Hela ambayo ilitakiwa ielekezwe kutatua huduma za kijamii wanapewa Chadema ili waitumie kuruka na helkopita kufanya umalaya na kuhujumu miradi ya maendeleo.
Kuna tafauti baina ya mtu kufa na kuuliwa!Hawa walioongezeka vifo vya vilikuwepo tawala zingine sasa nakuuliza kwanini utawala wa Magufuli mmeushikia bango sana mkiulizwa mauaji yapi mtaishi kuwataja azori Agwanda,na Ben sanane kwanini hamuongei tawala zingine kuna watu walikufa
We una tatizo la kusahau.Mafisadi na mabeberu mpaka leo wanajiuliza Hayati Magufuli alikuwa anatoa wapi hela na kujenga miradi mingi sana kwa wakati mmoja, kila kijiji, kata, wilaya nchini Tanzania ilikuwa na mradi wa Magufuli, zahanati na hospitali ziliota kama uyoga.
Jibu ni kwamba Magufuli alikuwa anatoa hela kwa mafisadi, mfano sasa hivi Chadema wamelamba asali na kukubali kupokea mabilioni ya pesa za walipa kodi kutoka kwa Rais Samia, hela ambayo kwa sasa wanaitumia kuzunguka nchi nzima wakitukana viongozi na kuhamasisha maasi nchini.
Hela ambayo ilitakiwa ielekezwe kutatua huduma za kijamii wanapewa Chadema ili waitumie kuruka na helkopita kufanya umalaya na kuhujumu miradi ya maendeleo.
Kuna mada hapo au uharo tuHujaelewa mada, rudia kusoma
FafanuaWatanzania wengine ni mahodari kujisahaulisha! Magufuli kachukua mikopo tele kisirisiri na hata baada ya hili kuwekwa wazi baada ya kifo chake bado kuna watu mnajifanya kutokumbuka hilo.
Asante kwa majibu mazuri Mungu akubariki.U
ULivyo boya hayo unayotaja mengi ni mikopo na hisani daraja la tanzanite na fly over ni hela ya nchi yako au hisani na mikopo. Pumbavu jizi lile
Sawa mkuu na wewe ubarikiwe piaAsante kwa majibu mazuri Mungu akubariki.