Kwa Hayati Magufuli hela anazotumia Tundu Lissu kuzurura zingetumika kujenga zahanati nchi nzima

Propaganda ipi?. Kujenga international Airport Chato na kuiruka Mwanza city?.
Mbona kila wakati stori zenu chato mbona hamsemi hospital ya kumbukumbu ya mlw Nyerere huko mara, mradi mkubwa wa maji Arusha, huoni reli alizozifufua Moshi nyie mnachuki na Magufuli mkijicha kwenye kichaka cha Chato
 
Hata barabara za juu ulikuwa unaziona ulaya sasa hivi unajifanya hujui bingwa wa miundombinu alifanya makubwa ndani ya muda mfupi hadi watangulizi wake wakaona aibu.
Sijasema hakuwa na mazuri, mabaya yalizidi mazuri..!! Hapo kwenye mabaya kuna uhai wa watu ulipotea pia, kuna waliowekwa vilema vya kudumu e.g akina Lisu. Ukiulizwa akina BEN SAANANE waliko unaweza sema? Azory je?
 
Kwani hao kina Ben sanane, azori Agwanda sijui lisu ndio wamuhimu waliokufa kuliko watanzania wengine yupo wapi dk Mvungi, chacha wangwe, davide Mwangosi, amran kombe,dokta ulimboka alitekwa
 
Wiki hii kuna watu wameuawa kimyakimya nyanda za juu kusini. Vipi mama naye anakiwasha kama JPM?
 
Kwani hao kina Ben sanane, azori Agwanda sijui lisu ndio wamuhimu waliokufa kuliko watanzania wengine yupo wapi dk Mvungi, chacha wangwe, davide Mwangosi, amran kombe,dokta ulimboka alitekwa
Usiende mbali mkuu, wiki hii tu nyanda za juu kusini watu wameuawa kwa mafungu. Kagera mwenyekiti wa kijiji aliuawa mwaka huu, kuna mwanafunzi wa UDOM bado watu wanarushiana mpira.
 
Wewe ni kiazi tr .gani CAG alishasema hakukuwa na upotevu

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, pamoja na ukiazi wangu, hizo 1.5T;

1. Kwanza mimi sijasema kuwa kulikuwa na upotevu, nimeuliza, unajua zilikopelekwa? Whether zimepotea OR not. AU hata kama kumefanyika embezzlement of funds, zimeelekezwa wapi? Na kwa idhini ya nani?

2. CAG hakusema kulikuwa na upotevu, bali alisema hazijulikani ziliko..!! Je wewe mwenzetu ambaye si kiazi unajua ziliko..???
 
Kwani hao kina Ben sanane, azori Agwanda sijui lisu ndio wamuhimu waliokufa kuliko watanzania wengine yupo wapi dk Mvungi, chacha wangwe, davide Mwangosi, amran kombe,dokta ulimboka alitekwa
Asante kwa kuongeza idadi. Sasa hapo ndo tunaona ubaya wa jule jamaa..!!
 
Hawa walioongezeka vifo vya vilikuwepo tawala zingine sasa nakuuliza kwanini utawala wa Magufuli mmeushikia bango sana mkiulizwa mauaji yapi mtaishi kuwataja azori Agwanda,na Ben sanane kwanini hamuongei tawala zingine kuna watu walikufa
 
Mafisadi na mabeberu mpaka leo wanajiuliza Hayati Magufuli alikuwa anatoa wapi hela na kujenga miradi mingi sana kwa wakati mmoja, kila kijiji, kata, wilaya nchini Tanzania ilikuwa na mradi wa Magufuli, zahanati na hospitali ziliota kama uyoga.

Jibu ni kwamba Magufuli alikuwa anatoa hela kwa mafisadi, mfano sasa hivi Chadema wamelamba asali na kukubali kupokea mabilioni ya pesa za walipa kodi kutoka kwa Rais Samia, hela ambayo kwa sasa wanaitumia kuzunguka nchi nzima wakitukana viongozi na kuhamasisha maasi nchini.

Hela ambayo ilitakiwa ielekezwe kutatua huduma za kijamii wanapewa Chadema ili waitumie kuruka na helkopita kufanya umalaya na kuhujumu miradi ya maendeleo.
Hilo ni jukumu la serikali ya ccm, mbona unambebesha jukumu ambalo si lake.
 
Mafisadi na mabeberu mpaka leo wanajiuliza Hayati Magufuli alikuwa anatoa wapi hela na kujenga miradi mingi sana kwa wakati mmoja, kila kijiji, kata, wilaya nchini Tanzania ilikuwa na mradi wa Magufuli, zahanati na hospitali ziliota kama uyoga.

Jibu ni kwamba Magufuli alikuwa anatoa hela kwa mafisadi, mfano sasa hivi Chadema wamelamba asali na kukubali kupokea mabilioni ya pesa za walipa kodi kutoka kwa Rais Samia, hela ambayo kwa sasa wanaitumia kuzunguka nchi nzima wakitukana viongozi na kuhamasisha maasi nchini.

Hela ambayo ilitakiwa ielekezwe kutatua huduma za kijamii wanapewa Chadema ili waitumie kuruka na helkopita kufanya umalaya na kuhujumu miradi ya maendeleo.
Watanzania wengine ni mahodari kujisahaulisha! Magufuli kachukua mikopo tele kisirisiri na hata baada ya hili kuwekwa wazi baada ya kifo chake bado kuna watu mnajifanya kutokumbuka hilo.
 
Hawa walioongezeka vifo vya vilikuwepo tawala zingine sasa nakuuliza kwanini utawala wa Magufuli mmeushikia bango sana mkiulizwa mauaji yapi mtaishi kuwataja azori Agwanda,na Ben sanane kwanini hamuongei tawala zingine kuna watu walikufa
Kuna tafauti baina ya mtu kufa na kuuliwa!
 
Mafisadi na mabeberu mpaka leo wanajiuliza Hayati Magufuli alikuwa anatoa wapi hela na kujenga miradi mingi sana kwa wakati mmoja, kila kijiji, kata, wilaya nchini Tanzania ilikuwa na mradi wa Magufuli, zahanati na hospitali ziliota kama uyoga.

Jibu ni kwamba Magufuli alikuwa anatoa hela kwa mafisadi, mfano sasa hivi Chadema wamelamba asali na kukubali kupokea mabilioni ya pesa za walipa kodi kutoka kwa Rais Samia, hela ambayo kwa sasa wanaitumia kuzunguka nchi nzima wakitukana viongozi na kuhamasisha maasi nchini.

Hela ambayo ilitakiwa ielekezwe kutatua huduma za kijamii wanapewa Chadema ili waitumie kuruka na helkopita kufanya umalaya na kuhujumu miradi ya maendeleo.
We una tatizo la kusahau.
 
Back
Top Bottom