econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Wagome mbele ya shetani atawaua wote.Mbona hawakugoma sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wagome mbele ya shetani atawaua wote.Mbona hawakugoma sasa?
Jifikirie kipindi hawajalamba asali walikuwa na uwezo wa kufanya mikutano?Wagome mbele ya shetani atawaua wote.
Mkasajili kwa jina la Magufuli Sasa. Kodi walipe wananchi halafu ndege iwe ya Magufuli, punguza uongo.Njoo tupande dreamliner ya Magufuli
Kwani Tundu Lisu anazurura kwa pesa zake?Kajenga kwa pesa zake?.
Wewe ndio hujaelewa ulichoandika. Tangu lini pesa za Ruzuku zikajenga zahanati?.Hujaelewa mada, rudia kusoma
Na ukweli wa chadema kushindwa kujenga ofisi ya chama kwa miaka 30 ni ipi?Ilishindikana au ilikuwa ipo kwenye process. Walianza na bunge, ikaja ofisi ya Waziri Mkuu etc, muwe wakweli.
Shida ni kupeleka kila kitu chato, halfu Leo vimebaki magofu.Kwani Chato sio Tanzania ni Burundi?
Akikujibu uni tag!Kwa hiyo Report ya CAG ilikosea kutoa taarifa?
Ulifanikiwa kusoma I am the state? Upo ukurasa wa ngapi mpaka sasa?Na ukweli wa chadema kushindwa kujenga ofisi ya chama kwa miaka 30 ni ipi?
Alikuwa kichwa Cha mwendawazimu. Yeye mwenyewe alidai kuwa alikuwa kichaa.Naunga hoja mkono! Umenena, JPM alikuwa kichwa.
Kamuulize kabudi aliyesema wameuawa.Waliouawa na kutekwa ni kina nani na ni nani aliwaua na kuwateka ushahidi please
Mikutano ilikuwa imepigwa marufuku, wangefanyia wapi?Jifikirie kipindi hawajalamba asali walikuwa na uwezo wa kufanya mikutano?
Hata barabara za juu ulikuwa unaziona ulaya sasa hivi unajifanya hujui bingwa wa miundombinu alifanya makubwa ndani ya muda mfupi hadi watangulizi wake wakaona aibu.Hii ya kuhamishia wanyama Burigi, Chato?
Hii ya kujenga majengo makubwa Chato?
Hii ya kujenga airport Chato bila bunge kupitisha?
Anafadhiliwa na chama.Kwani Tundu Lisu anazurura kwa pesa zake?
Hizo ni propaganda zenuShida ni kupeleka kila kitu chato, halfu Leo vimebaki magofu.
Unajua maana ya STRATEGIC MRADI..!! Usije ukadhani unajenga tu popote ilimradi ni Tanzania..!!! Unadhani kwanini Kiwanda cha Cement kijengwe karibu na raw materials zinakopatikana, eg Dangote, Wazo hill..??? Kwanini Mwendokasi haikujengwa huko Kilando Sumbawanga? Kwanini Kiwanda cha sukari hakikujengwa Mbambay huko Ruvuma?Kwani Chato sio Tanzania ni Burundi?
Wanakera sana Hawa jamaa, mtu kashakufa hata ufanye Nini huwezi kubadili chochote. Alafu Kila mtu na hulka yake kulazimisha Kila kiongozi atawale kama huyo kipenzi Chao ni kutwanga maji kwenye kinuYaani hadi kero
Propaganda ipi?. Kujenga international Airport Chato na kuiruka Mwanza city?.Hizo ni propaganda zenu
Hizi zinazokamatwa kila kukicha..!! Kuna siku itakamatwa ikiwa angani na wote watakaokuwemo ndani watapalekwa wanakotaka wakamatajiNjoo tupande dreamliner ya Magufuli
Kujenga flyover ndio mambo makubwa?. Watu wamejenga uwanja wa Taifa na hawaringi. Watu wamejenga bunge letu na hawaringi. Watu wamejenga UDOM, UDSM na wapo kimya. Ila nyie kujenga daraja moja tu kelele nyingi.Hata barabara za juu ulikuwa unaziona ulaya sasa hivi unajifanya hujui bingwa wa miundombinu alifanya makubwa ndani ya muda mfupi hadi watangulizi wake wakaona aibu.