Kwa Hayati Magufuli hela anazotumia Tundu Lissu kuzurura zingetumika kujenga zahanati nchi nzima

Unaweza kutuonyesha tu
Kwetu huko kuna Shule ya Sekondari imejengwa kwa kiwango cha hali ya juu na hakuna mwananchi aliyeshiriki kutoa hata shilingi moja.Ni shule ya maana mpaka jirani zetu Kenya wanashangaa na kujiuliza sana,tayari wanafunzi Kidato cha kwanza wameanza.
 
Mafisadi na mabeberu mpaka leo wanajiuliza Hayati Magufuli alikuwa anatoa wapi hela na kujenga miradi mingi sana kwa wakati mmoja, kila kijiji, kata, wilaya nchini Tanzania ilikuwa na mradi wa Magufuli, zahanati na hospitali ziliota kama uyoga.

Jibu ni kwamba Magufuli alikuwa anatoa hela kwa mafisadi, mfano sasa hivi Chadema wamelamba asali na kukubali kupokea mabilioni ya pesa za walipa kodi kutoka kwa Rais Samia, hela ambayo kwa sasa wanaitumia kuzunguka nchi nzima wakitukana viongozi na kuhamasisha maasi nchini.

Hela ambayo ilitakiwa ielekezwe kutatua huduma za kijamii wanapewa Chadema ili waitumie kuruka na helkopita kufanya umalaya na kuhujumu miradi ya maendeleo.
FtDpG2cakAAY5Or.jpeg
 
Jumlisha za mabango ya Mama Samia barabarani
 
Hata mimi nilishaur awamu iliyopita kua... Zile pesa walizokua wananunua wapinzani bora zingeelekezwa kweny maendeleo. Lkn wapi wakakaza shingo, matokeo yake manunuzi yakashamiri tena utake usitake utanunuliwa.
 
Awamu iliyopita haikuwa na uhaba wa miradi ya maendeleo, kila sehemu ilikuwa inajengwa
 
Mafisadi na mabeberu mpaka leo wanajiuliza Hayati Magufuli alikuwa anatoa wapi hela na kujenga miradi mingi sana kwa wakati mmoja, kila kijiji, kata, wilaya nchini Tanzania ilikuwa na mradi wa Magufuli, zahanati na hospitali ziliota kama uyoga.

Jibu ni kwamba Magufuli alikuwa anatoa hela kwa mafisadi, mfano sasa hivi Chadema wamelamba asali na kukubali kupokea mabilioni ya pesa za walipa kodi kutoka kwa Rais Samia, hela ambayo kwa sasa wanaitumia kuzunguka nchi nzima wakitukana viongozi na kuhamasisha maasi nchini.

Hela ambayo ilitakiwa ielekezwe kutatua huduma za kijamii wanapewa Chadema ili waitumie kuruka na helkopita kufanya umalaya na kuhujumu miradi ya maendeleo.
DuH! unataka tuulize maswali magumu mida hii hivi kweli msafara wa TL unafikia kweli hata robo ya gharama alizokuwa anatumia jiwe??? Hivi kwa ulinzi ule wa jiwe inakuwaje kafa??? Mungu mkubwa jamani, manake mlikuwa radhi muuwe watu mwamba asipate karaha. Kufuru zenu na dhulma Mwenyezi akachukua hatua
 
DuH! unataka tuulize maswali magumu mida hii hivi kweli msafara wa TL unafikia kweli hata robo ya gharama alizokuwa anatumia jiwe??? Hivi kwa ulinzi ule wa jiwe inakuwaje kafa??? Mungu mkubwa janam, manake mlikuwa radhi muuwe watu mwamba asipate karaha. Kufuru zenu na dhulma Mwenyezi akachukua hatua
Awamu iliyopita haikuwa na uhaba wa miradi ya maendeleo, kila sehemu ilikuwa inajengwa
 
Awamu iliyopita haikuwa na uhaba wa miradi ya maendeleo, kila sehemu ilikuwa inajengwa
Ni ujinga kufuja pesa kwa kigezo cha wingi wa miradi!! Watanzania bado ni wahitaji sana wa maendeleo kweny nyanja mbalimbali. Acha huu ujinga wa kusema hakukua na uhaba wa miradi!!
 
Ujinga zaidi ni kumpa hela Lisu azurure na kutukana huku miradi ya maendeleo ikikosa fedha
 
Hii ya kuhamishia wanyama Burigi, Chato?
Hii ya kujenga majengo makubwa Chato?
Hii ya kujenga airport Chato bila bunge kupitisha?
Hifadhi ya burigi ipo toke enzi, ulikuwa ukipita kasindaga kuwaona tembo na twiga kawaida. Ilipotezewa
 
Kwanini sasa walihamishiwa wengine?
Alifanya hivyo kwa ajili ya kurudisha kile kilichopote, hilo pori limeungana na poli la kimisi kwenda karagwe huko ila wanyama walipotea kutokana na uvamizi wa warwanda na warundi. Hayo mapori ilikuwa ikifika saa kumi ya jioni barabara inafungwa mpaka asubuhi otherwise kuna escot ya polisi.
 
Back
Top Bottom