kwa heri mwaka 2017 karibu mwaka 2018 sote bila shaka tumefurahia mijadala hapa JF

mkulu game over naomba kitu cha mlonganzila.
Mkuu hii kitu ni Moto wa kuotea mbali,
Labda niwakumbushe ndugu zangu wana Africa Mashariki,
Hata tukifurahia maendeleo makubwa katika Miundombinu ya Barbara, Viwanja vya ndege, Majengo marefu n.k tuliyoyapata mwaka 2017, Suala la afya za wananchi ni Jambo la kuzingatiwa, kwani Hata tukiwa na maendeleo kama wananchi hawana afya Bora tunakuwa hatujafanya lolote, Katika haya yote yaliyofanyika, Suala la Afya za Wana Africa Mashariki halikubaki nyuma, Tanzania imefanikiwa kufanya jitihada za makusudi kuboresha hudima za Afya,

Hii ni Orodha ya Hospitali kubwa na Za kisasa (World class) Tanzania
1. Jakaya Kikwete Cardiac Institute (More than 20 Cardiologists, 30 Physicians, lots of General practitioners and other HCP's

2.Muhimbili Orthopedic Institute (MOI), with more than 50 orthopedic surgeons and many other HCP's

3.Ocean Road Cancer Institute, with lots of Radiologists and other HCPs

4.Mloganzila Medical Center, The Largest, modern Medical Facility in East and Central Africa.

5.Benjamin Mkapa Ultramodern Hospital - Dodoma

IMG_20171129_200001.jpg
IMG_20171129_195952.jpg
IMG_20171129_195935.jpg
IMG_20171129_195927.jpg

Natumia jukwaa hili kuwaasa Ndugu zangu wana Africa Mashariki kufika Tanzania kujipatia matibabu badala ya Kufikiria Kwenda India na kwingineko ambapo mtapata matibabu ya uhakika na kwa wakati na mtaokoa pesa.
 
Hizi salaam za mwaka mpya ni za ajab kweli zinaandamana hadi na picha za barabara na reli pia. 😀

teh teh teh teh tihiii
tulia tu mwanangu utaelewa maana ya hizi salamu.
nawe tutumie mambo ambayo serikali imetimiza hapo kajiado kwenu.

by the way ndugu zetu wa Uganda mbona hawaoni kwenye salamu hizi?
 
Mkuu hii kitu ni Moto wa kuotea mbali,
Labda niwakumbushe ndugu zangu wana Africa Mashariki,
Hata tukifurahia maendeleo makubwa katika Miundombinu ya Barbara, Viwanja vya ndege, Majengo marefu n.k tuliyoyapata mwaka 2017, Suala la afya za wananchi ni Jambo la kuzingatiwa, kwani Hata tukiwa na maendeleo kama wananchi hawana afya Bora tunakuwa hatujafanya lolote, Katika haya yote yaliyofanyika, Suala la Afya za Wana Africa Mashariki halikubaki nyuma, Tanzania imefanikiwa kufanya jitihada za makusudi kuboresha hudima za Afya,

Hii ni Orodha ya Hospitali kubwa na Za kisasa (World class) Tanzania
1. Jakaya Kikwete Cardiac Institute (More than 20 Cardiologists, 30 Physicians, lots of General practitioners and other HCP's

2.Muhimbili Orthopedic Institute (MOI), with more than 50 orthopedic surgeons and many other HCP's

3.Ocean Road Cancer Institute, with lots of Radiologists and other HCPs

4.Mloganzila Medical Center, The Largest, modern Medical Facility in East and Central Africa.

5.Benjamin Mkapa Ultramodern Hospital - Dodoma

View attachment 659936View attachment 659937View attachment 659938View attachment 659939
Natumia jukwaa hili kuwaasa Ndugu zangu wana Africa Mashariki kufika Tanzania kujipatia matibabu badala ya Kufikiria Kwenda India na kwingineko ambapo mtapata matibabu ya uhakika na kwa wakati na mtaokoa pesa.
Hapo Mloganzila hapo, kweli kabisa, hakuna sababu ya watu wa ukanda huu kwenda nje kwa ajili ya matibabu, japo politicians na public servants bado watapenda kwenda mbali ili walipwe per diems na transport allowances. Ila Mloganzila ni mwisho wa maneno katika ukanda huu[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mkuu hii kitu ni Moto wa kuotea mbali,
Labda niwakumbushe ndugu zangu wana Africa Mashariki,
Hata tukifurahia maendeleo makubwa katika Miundombinu ya Barbara, Viwanja vya ndege, Majengo marefu n.k tuliyoyapata mwaka 2017, Suala la afya za wananchi ni Jambo la kuzingatiwa, kwani Hata tukiwa na maendeleo kama wananchi hawana afya Bora tunakuwa hatujafanya lolote, Katika haya yote yaliyofanyika, Suala la Afya za Wana Africa Mashariki halikubaki nyuma, Tanzania imefanikiwa kufanya jitihada za makusudi kuboresha hudima za Afya,

Hii ni Orodha ya Hospitali kubwa na Za kisasa (World class) Tanzania
1. Jakaya Kikwete Cardiac Institute (More than 20 Cardiologists, 30 Physicians, lots of General practitioners and other HCP's

2.Muhimbili Orthopedic Institute (MOI), with more than 50 orthopedic surgeons and many other HCP's

3.Ocean Road Cancer Institute, with lots of Radiologists and other HCPs

4.Mloganzila Medical Center, The Largest, modern Medical Facility in East and Central Africa.

5.Benjamin Mkapa Ultramodern Hospital - Dodoma

View attachment 659936View attachment 659937View attachment 659938View attachment 659939
Natumia jukwaa hili kuwaasa Ndugu zangu wana Africa Mashariki kufika Tanzania kujipatia matibabu badala ya Kufikiria Kwenda India na kwingineko ambapo mtapata matibabu ya uhakika na kwa wakati na mtaokoa pesa.

duuu another Indian health facilities hub in the making.

bravo Tanzania. I never see this kind of health facility. saafi SANA.
 
mmetisha nadhani kunako majaliwa. ya mwenyezi mungu mwaka kesho tarehe Kama ya Leo mapicha ya SGR ya TZ na Kenya zitatawala
I wish I wish I wish.
Nina hamu kuona hayo yakitimia.
 
Hizi salaam za mwaka mpya ni za ajab kweli zinaandamana hadi na picha za barabara na reli pia. 😀
Tz imetisha huu mwaka hongera zao! Krismasi imenoga mikoani huko hadi ngedere wakipata konyagi kinywaji safiii![emoji123] [emoji123] [emoji3]
tapatalk_1509548820910.jpeg

Mbuzi nao wakishiriki kilimanjaro lagerr[emoji119] [emoji122] [emoji95] [emoji3]
tapatalk_1509548803103.jpeg
 
Kuna mmoja ameweka lapset kwa kweli ana moyo kama mpaka leo bado ana ndoto za slap-net hata hivyo nawapongeza wenzetu kwa kufanya uchaguzi mara mbili kwa mwaka
 
jamani leteni miradi iliyotimizwa katika mwaka huu unaoisha.
 
Kuna mmoja ameweka lapset kwa kweli ana moyo kama mpaka leo bado ana ndoto za slap-net hata hivyo nawapongeza wenzetu kwa kufanya uchaguzi mara mbili kwa mwaka

Jifahamishe na mambo ya Afrika Mashariki nje ya kitaa chako cha Dar. Tazama hii video, nategemea utaelewa Kingereza
 
Back
Top Bottom