pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hizi salaam za mwaka mpya ni za ajab kweli zinaandamana hadi na picha za barabara na reli pia. 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii kitu ni Moto wa kuotea mbali,mkulu game over naomba kitu cha mlonganzila.
Wana Africa mashariki tunajipongeza kwa Yale mazuri machache tumefanya 2017Hizi salaam za mwaka mpya ni za ajab kweli zinaandamana hadi na picha za barabara na reli pia. 😀
Hizi salaam za mwaka mpya ni za ajab kweli zinaandamana hadi na picha za barabara na reli pia. 😀
Hapo Mloganzila hapo, kweli kabisa, hakuna sababu ya watu wa ukanda huu kwenda nje kwa ajili ya matibabu, japo politicians na public servants bado watapenda kwenda mbali ili walipwe per diems na transport allowances. Ila Mloganzila ni mwisho wa maneno katika ukanda huu[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mkuu hii kitu ni Moto wa kuotea mbali,
Labda niwakumbushe ndugu zangu wana Africa Mashariki,
Hata tukifurahia maendeleo makubwa katika Miundombinu ya Barbara, Viwanja vya ndege, Majengo marefu n.k tuliyoyapata mwaka 2017, Suala la afya za wananchi ni Jambo la kuzingatiwa, kwani Hata tukiwa na maendeleo kama wananchi hawana afya Bora tunakuwa hatujafanya lolote, Katika haya yote yaliyofanyika, Suala la Afya za Wana Africa Mashariki halikubaki nyuma, Tanzania imefanikiwa kufanya jitihada za makusudi kuboresha hudima za Afya,
Hii ni Orodha ya Hospitali kubwa na Za kisasa (World class) Tanzania
1. Jakaya Kikwete Cardiac Institute (More than 20 Cardiologists, 30 Physicians, lots of General practitioners and other HCP's
2.Muhimbili Orthopedic Institute (MOI), with more than 50 orthopedic surgeons and many other HCP's
3.Ocean Road Cancer Institute, with lots of Radiologists and other HCPs
4.Mloganzila Medical Center, The Largest, modern Medical Facility in East and Central Africa.
5.Benjamin Mkapa Ultramodern Hospital - Dodoma
View attachment 659936View attachment 659937View attachment 659938View attachment 659939
Natumia jukwaa hili kuwaasa Ndugu zangu wana Africa Mashariki kufika Tanzania kujipatia matibabu badala ya Kufikiria Kwenda India na kwingineko ambapo mtapata matibabu ya uhakika na kwa wakati na mtaokoa pesa.
Mkuu hii kitu ni Moto wa kuotea mbali,

Kabisa mkuu, tunataka kufikia 2025 tuheshimike Africa nzima,mmetisha nadhani kunako majaliwa. ya mwenyezi mungu mwaka kesho tarehe Kama ya Leo mapicha ya SGR ya TZ na Kenya zitatawala
Tz imetisha huu mwaka hongera zao! Krismasi imenoga mikoani huko hadi ngedere wakipata konyagi kinywaji safiii![emoji123] [emoji123] [emoji3]Hizi salaam za mwaka mpya ni za ajab kweli zinaandamana hadi na picha za barabara na reli pia. 😀
Tz imetisha huu mwaka hongera zao! Krismasi imenoga mikoani huko hadi ngedere wakipata konyagi kinywaji safiii![emoji123] [emoji123] [emoji3]
View attachment 659948
Mbuzi nao wakishiriki kilimanjaro lagerr[emoji119] [emoji122] [emoji95] [emoji3]
View attachment 659949
Hiyo render ni moto.
Kuna mmoja ameweka lapset kwa kweli ana moyo kama mpaka leo bado ana ndoto za slap-net hata hivyo nawapongeza wenzetu kwa kufanya uchaguzi mara mbili kwa mwaka