kwa heri mwaka 2017 karibu mwaka 2018 sote bila shaka tumefurahia mijadala hapa JF

kwa heri mwaka 2017 karibu mwaka 2018 sote bila shaka tumefurahia mijadala hapa JF

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Posts
17,214
Reaction score
15,853
Napenda nichukue fursa hii kuwapa pongezi na kuwashukuru kwa jinsi tulivyokuwa pamoja kwa kipindi chote cha mwaka 2017. mwaka ulikuwa mzuri licha ya changamoto kadhaa. wana JF hususan jukwaa la Afrika Mashariki mumekuwa mstari wa mbele kuleta na kuchambua mada motomoto, huku mkionesha weledi kwenye kutumia takwimu toka kwenye vyanzo rasmi. najisikia furaha na fahari kuwa katika jukwaa hili dogo la Afrika Mashariki. limesheheni vipawa na vipaji ambavyo kila unapoingia kwenye mijadala lazima utoke na ujuzi wa ziada.

nawatakia kila la kheri kwa mwaka mpya (2018) ujao kwa wajumbe wote wa jukwaa hili la Afrika Mashariki.

ndimi mwanajukwaa mwenzenu.
eliakeem.
aksante.
 
Heri ya mwaka mpya wana Afrika Mashariki, mengi yameongelewa hapa na kwingineko mazuri kwa mabaya, makubwa kwa madogo. Hili jukwaa lime elimisha wengi na kuwapa furaha wengine na wengine majonzi. Kwa upande wetu Tanzania tuna mengi ya kujivunia na tunatabiri makubwa 2018.

c6378fd0a163c5dee657675af7a00ca2.jpg
 
aksante kwa kutukumbusha one of the LAND Mark PROJECTS OF the year.
 
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha hadi hapo na sasa tupo kwenye hatua za mwisho kabla kuaga 2017, tunamwomba uzima na hekima, na pia abariki viongozi wetu waendelee na kasi walionayo maana haya tunayoyaona leo yamechelewa, tulifaa kuwa tumepita hapa miaka ya awali.

Tunawaombea majirani zetu wapate neema ya kutoka kwa LDC waungane nasi ili ukanda huu uwe kwenye ligi ya wakubwa wa dunia.
2018 ni mwaka wa kubadilisha Afrika na kuiweka kwenye ngazi za juu.

https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2017/02/149389_96dd6bf7be262e5f49ca78c76b55f95c.jpg

066c51e097708bfd279cd6176f4d2c02.jpg
 
Afrika mashariki inapaa.
 
View attachment 659696
vijijini na mikoani pia MAMBO yamekuwa shwaari. sasa Dar Songea rasmi masaa saba kwa pitia mto Kilombero.
nchi sasa inafunguka.
ahaaaaa songea dar masaa saba . kweli nchi inafunguka

ingawa lately sikuwa active lakuni hili bado lilikuwa jukwaa langu pendwa... Tumshukuru Mungu kwa yote maana kwa sasa habari ya Afrika ipo Afrika mashariki
 
Afrika Mashariki ndiyo story ya Afrika.
 
Baadhi ya Mafanikio tumefikia 2017,
Hakika Mungu amekuwa upande wetu,
Pia niwapongeze Wakenya kwa kuvuka salama Katika uchaguzi mkuu,
Kudos to Uganda as well,
Nadhani 2025 tutakuwa hatuzungumzii umaskimi tena ukanda huu na tutavamia forums za wale mamburula wa Magharibi na kuwafunza mengi

JNIA terminal 3
Capacity: 7m. Passengers
tapatalk_1513676436543.jpeg
 
Back
Top Bottom