Kwa hesabu hizi Yanga SC anamzidi Simba SC kimapato mikataba wa Jezi

Homa lako likiisha rudia hotuba ya juzi kwenye mkutano mkuu wa utopolo kuwa mauzo ya jezi kwa mwaka mzima ni Tsh milioni 300 tu
Mbubumbu kuelewa ni ngumu sana aisee. Anyway mkataba wa yanga ni 1300 tshs kwa jezi. Furahi na roho yako
 
Hivi unajua kwa 1,300 ili wewe uifikie 2B unatakiwa uuze jezi ngapi?

Yanga kwenye jezi kwa mwaka wanapata

Pesa ya Mkataba - Bil 2.18
Pesa ya mrabaha (percentage kwenye kila jezi) 1300/ per jersy

Simba kwenye jezi kwa mwaka wanapata
Pesa ya Mkataba tu - Bil 2.

Yanga kwenye eneo moja anapata mara mbili, simba wanapata mara moja tu.

Usifananishe pesa ya mkataba na mrabaha.[emoji23]
 
Juzi mmesema mmepata 300M ina maana kwa 1,300 hiyo ni sawa na jumla ya mauzo ya jezi around 250K

Milion 300 ni faida ta mauzo ya jezi katika Duka la Klabu lililopo hapa Dar es salaam.

Jezi hizo hununuliwa kutoka kwa mzabuni (gsm).
 
Milion 150 ni pesa ndogo sana.

Tunataka tumtese kwa kumlaza na njaa kwanza mpaka siku ya payment deadline ndipo tutamlipa.

Tunamtesa kwakuwa aliwaita watu weusi MANYANI.
Yanga sio wote 🤪 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Yanga kwenye jezi kwa mwaka wanapata

Pesa ya Mkataba - Bil 2.18
Pesa ya mrabaha (percentage kwenye kila jezi) 1300/ per jersy

Simba kwenye jezi kwa mwaka wanapata
Pesa ya Mkataba tu - Bil 2.

Yanga kwenye eneo moja anapata mara mbili, simba wanapata mara moja tu.

Usifananishe pesa ya mkataba na mrabaha.[emoji23]
Nani kakudanganya?

Yani Club yako mwenyewe lakini hata data zake huna?

Mwaka jana Yanga walitangaza kuingia mkataba wenye thamani ya 9B kwa miaka mitano ambayo ni sawa na 1.5B kwa mwaka. Na tena walisema itakuwa inaongezeka kwa asilimia 10 kila mwaka. (Video nikiipata nitaiweka)

Na kwa wakati huo ndio ulionekana mkataba mkubwa kwenye jezi.

Kwa hiyo mategemeo yetu kwenye ripoti tulitegemea kuona pesa nyingi kuhusu swala la jezi.

Lakini juzi hapo imesomwa ripoti ya mapato ya jezi ambapo inaonesha kuwa Yanga imepata 330M.

Sasa ukipiga hesabu hapo kwenye hiyo 330M utaona ni mauzo ya jezi 250,000 kwa bei ya 1,300.

Ile 1.5B iko wapi?

Mlidanganywa kama ambavyo mliambiwa kuna Yanga TV kwenye king'amuzi cha Azam.
 
Tofautisha kati ya mapato yatokanayo na mauzo ya jezi na mapato yatokanayo na mkataba wa haki ya kutengeneza, kusambaza jezi na vitu vingine kwa nembo ya Yanga. Hivi ni vitu viwili tofauti. Nyie mbumbumbu tuwaeleshe hadi lini? By the ripoti ya mapato na matumizi ya timu yako pendwa ulishawahi kuiona? Kama ipo nipo paleee!!!
 
Milion 300 ni faida ta mauzo ya jezi katika Duka la Klabu lililopo hapa Dar es salaam.

Jezi hizo hununuliwa kutoka kwa mzabuni (gsm).
Ikisomwa ripoti ya mapato ya mwaka kuhusu mauzo ya jezi ambayo pesa imeingia kwenye mfuko wa Club halafu ukataja duka maana yake unaonesha duka ndio source pekee tegemezi ambayo inaingizia Club pesa ya jezi.

HIyo ni ripoti ya mwaka kuhusu jezi, sio ripoti ya duka.

UKisema duka maana unakuwa umejichorea duara dogo sana la wewe kuhusika na kuingiza pesa za jezi ambazo zipo dukani mwako tu na nje ya duka lako ina maana sio mali yako na wala hauhusiki nazo.

Umeelewa vizuri hapo?.
 
Tofautisha kati ya mapato yatokanayo na mauzo ya jezi na mapato yatokanayo na mkataba wa haki ya kutengeneza, kusambaza jezi na vitu vingine kwa nembo ya Yanga. Hivi ni vitu viwili tofauti. Nyie mbumbumbu tuwaeleshe hadi lini? By the ripoti ya mapato na matumizi ya timu yako pendwa ulishawahi kuiona? Kama ipo nipo paleee!!!
Njia za mapato si zilikwisha ainishwa mwanzoni mwa mkataba?

Kama mkataba ulisema 1,300 kwa kila jezi, kwanini ripoti ya mauzo ya mwaka iseme 330M ni mauzo ya duka?

Huoni kusema 330M ni mauzo ya duka maana yake unakubali kuwa mauzo yaliyofanyika nje ya duka umeya exclude?

Wakati mkataba unasema kila jezi unachukua 1,300 bila kujali kuwa ni nje au ndani ya duka as long as ni jezi ya Yanga?
 
Kuelewa umeishaelewa ila unashupaza shingo tu.
 
Ikisomwa ripoti ya mapato ya mwaka kuhusu mauzo ya jezi ambayo pesa imeingia kwenye mfuko wa Club halafu ukataja duka maana yake unaonesha duka ndio source pekee tegemezi ambayo inaingizia Club pesa ya jezi.

HIyo ni ripoti ya mwaka kuhusu jezi, sio ripoti ya duka.

UKisema duka maana unakuwa umejichorea duara dogo sana la wewe kuhusika na kuingiza pesa za jezi ambazo zipo dukani mwako tu na nje ya duka lako ina maana sio mali yako na wala hauhusiki nazo.

Umeelewa vizuri hapo?.
Muulize kama 300m ni mapato ya duka akuonyeshe Na mapato ya maduka mengine kuanzia gsm msaasani gsm nyerere road gsm salamanda nk kwenye hiyo Report?
Akikujibu nitag mkuu
 
𝙷𝚊𝚠𝚊 𝚂𝚒𝚖𝚋𝚊 𝚜𝚒 𝚗𝚍𝚒𝚢𝚘 𝚠𝚊𝚕𝚒𝚊𝚗𝚣𝚊 𝚔𝚞𝚓𝚒𝚒𝚝𝚊 𝚚𝚞𝚎𝚎𝚗 𝚔𝚊𝚋𝚕𝚊 𝚢𝚊 𝚜𝚊𝚗𝚍𝚊𝚕𝚊𝚗𝚍
 
Msimu wa 2022/2023 umeisha tuoneshe mapato ya jezi ya thamani za mabilioni.

Kisha njoo utuoneshe zawadi za ushindi maana mmeandikiwa bilioni 1.1 wakati mmeingiza zaidi kwenye CAF

Au ya kwenye CAF mtaiweka mwakani
 
Back
Top Bottom