Kwa hesabu hizi Yanga SC anamzidi Simba SC kimapato mikataba wa Jezi

Muulize kama 300m ni mapato ya duka akuonyeshe Na mapato ya maduka mengine kuanzia gsm msaasani gsm nyerere road gsm salamanda nk kwenye hiyo Report?
Akikujibu nitag mkuu
GSM Shop sio mali ya Klabu.

Club Shop ni mali ya klabu.

Hatuwezi kuhesabu mapata ya maaduka ambayo sio mali ya klabu.

Ifahamike GSM Shops ni mali za mzabuni?

Nakutag kabisa

adakiss23
 
Walianzaga kuchanganyikiwa kitambo!
 
Unasema Yanga ya CCM au ipi?

Naipenda Simba mshabiki wa damu. 😎
 





Msikilize mwenyewe hapa Rais wenu anasema bilioni 9.1

Your browser is not able to display this video.
 
Yanga wajanja sana.

Wanamkamua GSM Bilioni 2.18 kila msimu.

Wakaona bado,

Wakamkamua pia buku 1,300/ kwenye kila jezi.

Wakaona haitoshi tena wakajifanya nao ni "WAFANYA BIASHARA''. Wakanunua jezi hizo hizo kwa mzabuni kwa bei ya wholesale then wakkapeleka mzigo kwenye Club Shop yao iliyoko HQ. Mzigo ukasukumwa msimu mzima, dukaa hilo hilo moja likaingiza milioni 300.

Watu wanabaki.kushangaa.

Hersi ni Genius.



 
Asante sana kwa swali lako ila mimi nakujibu kwa references ya video kabisa inayomuonesha Raisi wa Club akitamka Bilion 9.1
Your browser is not able to display this video.
 
Wanamkamua kwenye media kuwaaminisha watu ila kwenye vikokotoo GSM ndio mafia.

1,300 hata uswazi kwetu plate ya ubwabwa hupati, hata uimbe vipi hakuna atayekuelewa.
 
Hayo ni mauzo yaliyotoka kwenye duka la klabu jangwani siyo kama unavyofikiri wewe
mauzo toka duka la yanga?
nani aliwapa yanga wauze?
commision ya yanga ni sh ngap kwa kila jezi wanayouza hapo dukani kwao?......
 
Yanga anapata 1300 tu kwenye jezi.
 
Asante sana kwa swali lako ila mimi nakujibu kwa references ya video kabisa inayomuonesha Raisi wa Club akitamka Bilion 9.1
View attachment 2669598
Ahsante sana mkuu, siku zote hoja hujibiwa kwa hoja na sio viloja big up Sana kwako kolo Mimi ni Yanga bingwa WA NBC na makombe mengine .

Haya sasa zamu yako sasa demigod hiyo B10 wewe uliitoa wapi? Tunaona hapo mheshimiwa Raisi anasema ni B9 ufafanuzi wako tafadhari.
 
Asante sana kwa swali lako ila mimi nakujibu kwa references ya video kabisa inayomuonesha Raisi wa Club akitamka Bilion 9.1
View attachment 2669598
Package ya Uzabuni ina conditions 2.

Bilioni 9.1 kwa ajili ya uzalishaji na ysambazaji jezi

Bilioni 1.8 kwa ajili ya kuweka nembo zake katika jezi hizo.

Kwa hesabu ya shule ya msingi ni:-

9.1 + 1.8 = 10.9

BILION 10.9. (zingatia picha mojawapo pale juu ktk uzi)

Tafuta full video na sio kipande.
 
9.1 + 1.8 = 10.9

Bilion 10.9 inatokana na jezi pekee.

 
Lete taarifa ya fedha ya klabu ya Yanga tuone kwenye mapato yake kama hizo pesa zimeonekana
 
GSM Shop sio mali ya Klabu.

Club Shop ni mali ya klabu.

Hatuwezi kuhesabu mapata ya maaduka ambayo sio mali ya klabu.

Ifahamike GSM Shops ni mali za mzabuni?

Nakutag kabisa

adakiss23
Hahaha [emoji23][emoji23] kwahiyo mali za klabu ziuzwe na mtu mwingine halafu pesa isiende klabu
Hakika bangi ni mbaya
 
Hahaha [emoji23][emoji23] kwahiyo mali za klabu ziuzwe na mtu mwingine halafu pesa isiende klabu
Hakika bangi ni mbaya
Mkataba wa Yanga na GSM kwenyw jezi uko hivi:-

Jukumu la kuzalisha, kisambaza jezi yenye nembo ya Yanga ni la GSM.

IN RETURNS wanaipa Yanga SC bil 2.18 kila msimu.

Its a win win situation.

Haitofautiani na Simba vs SANDALAND.

Simba hana. Jukumu la. Kuuza Jezi, SANDALLAAND yuko na haki halali za kuuza jezi za klabu in returnes Simba inapata bilion 2 kwa msimu.

Sidhani kama umeelewa! [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…