Kwa hesabu hizi Yanga SC anamzidi Simba SC kimapato mikataba wa Jezi

naomba nionyeshe hiyo 2.18b ilipoonyeshwa kwenye Report hii iliyosomwa juzi.
 
hzo hesabu za jezi za utopolo hazijakaa sawa.hzo bilions haujatuambia wanapewa kwa ajili gani.wakati jezi bado hazijauzwa?hv kweli mtu anaweza kuwapa hela za jezi bila kujua hela zake zitarudi vp?
 
Mfungua uzi bado sijaelewa mantiki yako ya kuanza kuhesabu mkataba wa Simba tangu 2021/2022 afu Yanga 2022/2023... Huu ulingano gani sasa unaleta?
 
Lete taarifa ya fedha ya klabu ya Yanga tuone kwenye mapato yake kama hizo pesa zimeonekana
Mapato ya wadhamini ni Bilioni 8
Azam ndiye hutoa 2.4bil
Anafuata Haier 1.5Bil
Anafuata Sportpesa 4bil
Hadi hapo unaona kabisa ni 7.9 au zaidi

Swali ni je hizo wanazosema za jezi, na maandishi ya gsm ziko sehemu gani?
Maana kama wangekuwa wanalipwa hizo pesa walizotaka kwenye jezi lazima mapato ya wadhamini yangezidi bilioni 10

Mkisema GSM anatoa 300mil kwa msimu
Na Jezi anatoa Bilioni 2.4 kwa msimu maana yake Yanga kwenye wadhamini walitakiwa wapate Bilioni 11 na point.
 
Hawalijui hilo ndugu wanatupiga kamba tu hapa
 
Ipo ndani ya mapato ya spon

Ipo ndani ya mapato ya sponsorshipView attachment 2669899
Siku zote mtu akitaka kukudanganya/kukuficha jambo anakupatia hesabu ya jumla. Ukichambua kwa kina ndipo unapojua udanganyifu wake.
Kumbukumbu zilizopo ni hizi juu ya wadhamini wa Yanga
Sport pesa- TZS Bil 4
Azam bil.2.4
Haier - bil 1.5
Jumla kwa wadhamini hao watatu pekee ni Bi. 7.9
Bil. 8.1-7.9= Mil 200+
Haya tuambie hizo hesabu zenu ziko wapi hapo
 
Yanga walikurupuka na kwenye Jezi huo ndo Uhalisia

Huo Mkopo haijulikani walitoa wapi.

Bora Simba walitangaza kabisa kuwa msimu huu bajeti yao ni Bilioni 13 mapato yao ni Bilioni 9.5, MO anawakopesha Bilioni 3.5

Walitamka mapema sana
 
Yanga walikurupuka na kwenye Jezi huo ndo Uhalisia

Huo Mkopo haijulikani walitoa wapi.

Bora Simba walitangaza kabisa kuwa msimu huu bajeti yao ni Bilioni 13 mapato yao ni Bilioni 9.5, MO anawakopesha Bilioni 3.5

Walitamka mapema sana
Ndio hivyo lakini hawataki kuukubali ukweli.
 
Kapotea jamaa.wanalishwa matango pori🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
bado kuna udhamini wa maji ya afya, wa taifa gas, wa jembe energy drink, wa gsm lile tangazo juu mgongoni karibu na shingo...... hao ni wanne lakini haijulikani wanatoa sh ngap

hawa jamaa wahuni aiseee[emoji3][emoji3][emoji3]
 
bado kuna udhamini wa maji ya afya, wa taifa gas, wa jembe energy drink, wa gsm lile tangazo juu mgongoni karibu na shingo...... hao ni wanne lakini haijulikani wanatoa sh ngap

hawa jamaa wahuni aiseee[emoji3][emoji3][emoji3]
Na hakuna hesabu
 
Una akili ndogo sana
 
Bei ya jezi za Yanga iko juu kuliko za Simba, fanya utafiti mdogo unapotembea mtaani jezi za timu gani zinavaliwa kwa wingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…