Kilunguru
JF-Expert Member
- Feb 2, 2023
- 416
- 544
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.........KAZI IENDELEE 🇹🇿 🇹🇿
Naanza na kuishukuru serikali yetu ya Awamu ya 6 chini ya Dr Samia Suluhu Hassan kwa kutujari Watumishi wa umma, na si Watumishi tu, bali makundi yote yameguswa chanya na serikali yetu, utaona ruzuku zimejaa kila Kona ya nchi, na mikopo pia kila Kona,
Tumeona serikali vile inatilia mkazo swala la Elimu Bora na yenye tija kwa maendeleo ya Taifa letu.
Hivyo basi tunaiomba serikali yetu tukufu endapo bajeti itaruhusu iweke muundo wa
kiutumishi na mshahara kwenye Elimu za masters/PhD, kwenye zile idara ambazo shahada ya pili haitambuliki.
Niwatakie kazi njema tufanye kazi kwa bidii kwa masilahi ya Taifa letu.