Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 999
- 1,898
Mwambie hiyo masters anataka cheo gani? Masters ni added advantage ya kuwa manager na higher positions ila kuna uzoefu kwanza angalau awe senior.Mi dada angu siwezi panic hela ya kubadilisha mboga hainipi shida kabisa, nakuonea huruma kuja kulia lia huku JF na masters ako ambayo haina tija kwa jamii. Peleka mapendekezo ako kwa Katibu Mkuu utumishi sisi huku JF tunataka watu wenye akili timamu watafutaji ambao tunaweza kupeana fursa za kibiashara. Nyie wajinga subiri Mei mosi mdanganywe mtaongezewa mishahara na TUCTA wanapiga pesa za wajinga mnaambulia tshirt na kofia huku umekatwa zaidi ya laki 6 kwa mwaka.
Hiko cheo anachokitaka hakipo labda posho.