Kwa heshima na Tahadhima tunaiomba Serikali yetu sikivu ya JMT ianze kuipa muundo wa kiutumishi na mshahara Masters/PhD degree

Kwa heshima na Tahadhima tunaiomba Serikali yetu sikivu ya JMT ianze kuipa muundo wa kiutumishi na mshahara Masters/PhD degree

Mi dada angu siwezi panic hela ya kubadilisha mboga hainipi shida kabisa, nakuonea huruma kuja kulia lia huku JF na masters ako ambayo haina tija kwa jamii. Peleka mapendekezo ako kwa Katibu Mkuu utumishi sisi huku JF tunataka watu wenye akili timamu watafutaji ambao tunaweza kupeana fursa za kibiashara. Nyie wajinga subiri Mei mosi mdanganywe mtaongezewa mishahara na TUCTA wanapiga pesa za wajinga mnaambulia tshirt na kofia huku umekatwa zaidi ya laki 6 kwa mwaka.
Mwambie hiyo masters anataka cheo gani? Masters ni added advantage ya kuwa manager na higher positions ila kuna uzoefu kwanza angalau awe senior.

Hiko cheo anachokitaka hakipo labda posho.
 
Taasisi kama yetu wako strictly hata kuomba kusoma masters sio rahisi , lazima uandike maelekezo ya kutosha kwa nn unataka kwenda kusoma na umuhimu wa masomo kwa taasisi , ukiwa vizuri unasomeshwa .

Kazi nyingi zinahitaji uzoefu wa muda mrefu kazini, vyeo vya masters hamna mtu hujafika miaka ya kuwa senior unataka kuwa manager, kusoma mapema hata kuunga ni bora ila ngojea kwanza upate uzoefu maana nje ya kusoma baadhi ya vyeo vinahitaji hekia na busara .
Good
 
Tuweke kwa uongozi wa JF najua wewe huna weka hata laptop ya ofisini kwako mimi niwape JF cash kabla hujaanza ku-present ni online wala sitaki face to face.
🤣🤣Mkuu mm najua sisi wanaume tukipitia magumu huwa tunakuwa na hasira sana,
Anyway huo ndo uanaume
 
Nitashangaa kuona watu wenye masters hawa comment positive 🤣🤣
 
Hahaha utafanya watu tuanze kujiuliza Nini faida ya kwenda kusoma master na kutoa million zaidi ya 4..wakati ningeridhika tu na elimu na kazi kisha nikawekeza kwa nguvu na akili kufuga ng'ombe,mbuzi,kondoo,pig,kuku,Bata,sungura na njiwa..


Kusoma sana ni uoga wa maisha..kusoma maneno ya ki British ni upuuzi..maarifa gani ya muhimu kwa sasa hayapo online..poleni wasaka vyeo
Halafu eti mtu anasoma masters of public administration ili iweje?
 
Kusema una laki 5 hapo ulipo ni uongo hebu nithibitishie kwanza
Mkuu uongozi wa JF si upo shida nini? Sina hela kihivyo lakini hela ya kukulipa ukifanya vizuri hainipigi chenga, nataka u-present final report ako ya chuo kwa power point mkuu tena 5 slides zinatosha kabisa kama kweli hiyo reserch ulifanya mwenyewe.
 
Mkuu uongozi wa JF si upo shida nini? Sina hela kihivyo lakini hela ya kukulipa ukifanya vizuri hainipigi chenga, nataka u-present final report ako ya chuo kwa power point mkuu tena 5 slides zinatosha kabisa kama kweli hiyo reserch ulifanya mwenyewe.
Sawa nipe kwanza advance laki na nusu ndo tuanze mjadala nikishinda unanimalizia au unaonaje.
Mimi Niseme ukweli Sina laki 5 🤣
 
CPA wanalipwa posho ya cheti cha CPA kweny taasisi nyingi tu ...Masters professional certificate wenzie wanalipwa wana professional certifacates za engineering, accounting nje ya degree au master.
Shida ya watumishi wa umma wanasomea mishahara badala ya maarifa na ujuzi, yaani hapo unaweza kumwa-access tangu asubuhi anabishania Yanga na Simba, ngono na kujadili maisha binafsi ya watu, akienda kula ni masaa 2 akirudi draft kwenye pc. Ufanisi ni zero kabisa. Sikatai watu wasisome lakini tunataka tija
 
Sawa nipe kwanza advance laki na nusu ndo tuanze mjadala nikishinda unanimalizia au unaonaje.
Mimi Niseme ukweli Sina laki 5 🤣
Najua mshahara ulikata tarehe 03, siwezi kukupa kirahisi hivyo wwe wasiliana na uongozi wa JF mi nitatoa sina shida
 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.........KAZI IENDELEE 🇹🇿 🇹🇿

Naanza na kuishukuru serikali yetu ya Awamu ya 6 chini ya Dr Samia Suluhu Hassan kwa kutujari Watumishi wa umma, na si Watumishi tu, bali makundi yote yameguswa chanya na serikali yetu, utaona ruzuku zimejaa kila Kona ya nchi, na mikopo pia kila Kona,

Tumeona serikali vile inatilia mkazo swala la Elimu Bora na yenye tija kwa maendeleo ya Taifa letu.

Hivyo basi tunaiomba serikali yetu tukufu endapo bajeti itaruhusu iweke muundo wa
kiutumishi na mshahara kwenye Elimu za masters/PhD, kwenye zile idara ambazo shahada ya pili haitambuliki.

Niwatakie kazi njema tufanye kazi kwa bidii kwa masilahi ya Taifa letu.
Taifa letu lina vitu vya ajabu....hongera kwa masters tunatambua hilo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom